Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Daaah MUNGU anakuonaNimemwambia baba narudi chuo mapema kujiandaa na mitihani ya SUP eti anauliza SUP ndio nini?
Nimemjibu
"SPECIAL UNIVERSITY PEOPLE "
Naona ameniongeza hela na hongera juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baba angu mtu wa Mwanza[emoji23]
Sonia G Mungu anakuonaNimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya biblia MITHALI 28:1 (waovu hukimbia hata wasipokimbizwa😉 nikaamua kurudi kulala.
Ninayaelewa sana maandiko niko deep kiroho.!!! Za asubuhi
Magar ya mchepukoWajameni eti ukitaka kwenda nje ya ndoa unapanda magari ya wapi [emoji125][emoji125]
[Emoji15]Magar ya mchepuko
HahahahaMbuguni...
Nataka kama ile ya zamaradi kwa ruge*TUNAUZA DAWA YA KULILIWA NA MPENZI WAKO UKIMUACHA....*
*KULIA KAWAIDA. 10000/=*
*KULIA NA KUTOKA MAKAMASI..30000/=*
*KULIA NA KUONGEA KIZUNGU like _I feel to die..50000/=_*
*Tupo Mjini karibu na stand kuu ya mabasi*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaa bna ,ile ni ghar sanaNataka kama ile ya zamaradi kwa ruge
Hiyo Ndo dahawa Sasa,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaa bna ,ile ni ghar sana
hahahha [emoji23][emoji28][emoji23]Mtoto alikua akibishana na baba yake akisema 1+1=11, baba akamwangalia kisha akasema vizuri sana,akamtuma kununua mayai mawili,mtoto akaenda kununua,aliporudi akamwambia nipe moja lingne mpe kaka yako,wakaendelea kula,mtoto akauliza Mimi nakula nini? Baba akajibu kula tisa yaliobaki mjinga wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji28][emoji23] Aiiyayayayaaaa....[emoji30][emoji30]
hahhaha [emoji23][emoji28][emoji23]Kwa mwanamke kuwa na Sura Nzuri bila Tako ni Sawa na SIKUKUU kuangukia Jumamosi
Bure kabisa
Aisee we jamaa ,*wasukuma wanakaa bafuni dakika30 dakika5 anaoga zilizobaki anasugua yebo*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!Nimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya biblia MITHALI 28:1 (waovu hukimbia hata wasipokimbizwa😉 nikaamua kurudi kulala.
Ninayaelewa sana maandiko niko deep kiroho.!!! Za asubuhi
Yoooohooooooo!!!HUU KWELI NI UJUHA KABISA
Binti aligundua ameota nywele katikati ya miguu yake akawa na wasiwasi sana akaenda kumuuliza mama yake.Mama yake akamwambia kuwa hiyo sehemu iliyoota inaitwa nyani na ujivunie kuwa nyani wako ameota nywele, Binti akatabasamu katika chakula cha usiku Binti akamwambia dada yake"dada nyani wangu ameota nywele"dada yake akatabasamu na kusema"Wangu tayari ameanza kula NDIZI. Mama akazirai mezani...
[emoji3][emoji3][emoji3]