Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Nimemwambia baba narudi chuo mapema kujiandaa na mitihani ya SUP eti anauliza SUP ndio nini?

Nimemjibu
"SPECIAL UNIVERSITY PEOPLE "
Naona ameniongeza hela na hongera juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baba angu mtu wa Mwanza[emoji23]
Daaah MUNGU anakuona
 
Nimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya biblia MITHALI 28:1 (waovu hukimbia hata wasipokimbizwa😉 nikaamua kurudi kulala.
Ninayaelewa sana maandiko niko deep kiroho.!!! Za asubuhi
Sonia G Mungu anakuona
 
[HASHTAG]#1Post[/HASHTAG]
HIVI UNAJUA.

Ukimtumia demu M pesa au Tigo pesa ili aje alafu yeye akatoa hela halafu akakataa kuja unaweza kutumia kifungu cha 416(i) sheria ya mtandao kuwa amekutapeli kwa kusema uongo na anaweza akafungwa jela hadi miaka 7....
Lazima tunyooshane hakuna namna,Ila kama ni mwanafunzi nitamsamehee tuu maana mungu anasema samehe 7×70.
 
HUU KWELI NI UJUHA KABISA
Binti aligundua ameota nywele katikati ya miguu yake akawa na wasiwasi sana akaenda kumuuliza mama yake.Mama yake akamwambia kuwa hiyo sehemu iliyoota inaitwa nyani na ujivunie kuwa nyani wako ameota nywele, Binti akatabasamu katika chakula cha usiku Binti akamwambia dada yake"dada nyani wangu ameota nywele"dada yake akatabasamu na kusema"Wangu tayari ameanza kula NDIZI. Mama akazirai mezani...
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
*TUNAUZA DAWA YA KULILIWA NA MPENZI WAKO UKIMUACHA....*

*KULIA KAWAIDA. 10000/=*
*KULIA NA KUTOKA MAKAMASI..30000/=*

*KULIA NA KUONGEA KIZUNGU like _I feel to die..50000/=_*
*Tupo Mjini karibu na stand kuu ya mabasi*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Nataka kama ile ya zamaradi kwa ruge
 
IMG-20170925-WA0033.jpg
 
Mtoto alikua akibishana na baba yake akisema 1+1=11, baba akamwangalia kisha akasema vizuri sana,akamtuma kununua mayai mawili,mtoto akaenda kununua,aliporudi akamwambia nipe moja lingne mpe kaka yako,wakaendelea kula,mtoto akauliza Mimi nakula nini? Baba akajibu kula tisa yaliobaki mjinga wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahha [emoji23][emoji28][emoji23]
 
HUU KWELI NI UJUHA KABISA
Binti aligundua ameota nywele katikati ya miguu yake akawa na wasiwasi sana akaenda kumuuliza mama yake.Mama yake akamwambia kuwa hiyo sehemu iliyoota inaitwa nyani na ujivunie kuwa nyani wako ameota nywele, Binti akatabasamu katika chakula cha usiku Binti akamwambia dada yake"dada nyani wangu ameota nywele"dada yake akatabasamu na kusema"Wangu tayari ameanza kula NDIZI. Mama akazirai mezani...
[emoji3][emoji3][emoji3]
Yoooohooooooo!!!
Nyani wa dada anakula ndizi
 
Back
Top Bottom