Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
HhahahahahaKuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahah[emoji23]Kuna jamaa alifukuzwa kazi... Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlangoni... Ikawa hv...
boss: mbona unakuja kunya kwangu?
jamaa: nataka kukuonesha kuwa silali njaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bangi acha ipigwe marufuku...!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti,
Si ndipo wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa weee..!!
Akatokea pale pale walipo wenzie..
akawambia, "...masela naombeni kiberiti". Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea kisawasawa wakamjibu,,
"...Tumemtuma mshikaji, kaa hapa tumsubiri". Jamaa nae Si akakaa kusubiri kiberiti...!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Walisubiri, Wakasubiri, Wakasubiri... na
Wakasubiriiiii weee..!!! mpaka Saivi nimewaaacha wanasubiri tu..!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTE[emoji39]MKAPIME[emoji19]"[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi sijui lini anapenda kushtukiza sana[emoji57][emoji57][emoji57]
Ha ha ha haaaaa dahTulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda
Konda- bibi twende sit kibao ata utalala
Bibi - oooh sawa mjukuu
Konda - simama tu apo wanashuka mbele
Bibi - akacheka sana tu
Konda- mbona unacheka bibi
Bibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele
Watu- simamisha gar
Saiv bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma..mi napga gia tu ctk mchezo na konda.
AsanteeHuu Ufala wa Madem Huwa Mnavaa Earings Kwa Mapua, Ulimi, Masikio sijui kwa Uso...Maneckless ka mia Mbili...!!!
Mwingine ameanguka jana Town ametoa sauti Ka sufuria[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupwangalangichikong'oung'enkikounkong'ouu!
Hahahaha nmeipenda[emoji23]Argument of the day.
Wikipedia : I know everything.
Google : I have everything.
Facebook : I know everybody.
Internet : Without me, you are all nothing.
battery: Keep talking …we shall see.[emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha hahaKuna jamaa alifukuzwa kazi... Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlangoni... Ikawa hv...
boss: mbona unakuja kunya kwangu?
jamaa: nataka kukuonesha kuwa silali njaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]