Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna jamaa alifukuzwa kazi... Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlangoni... Ikawa hv...
boss: mbona unakuja kunya kwangu?
jamaa: nataka kukuonesha kuwa silali njaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hhahahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

TUSIPOANGALIA HUYU BASHITE ANAWEZA KUJIITA Paul PoGbA wamdhibiti Mapema

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bangi acha ipigwe marufuku...!!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti,

Si ndipo wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa weee..!!

Akatokea pale pale walipo wenzie..
akawambia, "...masela naombeni kiberiti". Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea kisawasawa wakamjibu,,

"...Tumemtuma mshikaji, kaa hapa tumsubiri". Jamaa nae Si akakaa kusubiri kiberiti...!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Walisubiri, Wakasubiri, Wakasubiri... na
Wakasubiriiiii weee..!!! mpaka Saivi nimewaaacha wanasubiri tu..!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu Ufala wa Madem Huwa Mnavaa Earings Kwa Mapua, Ulimi, Masikio sijui kwa Uso...Maneckless ka mia Mbili...!!!
Mwingine ameanguka jana Town ametoa sauti Ka sufuria[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupwangalangichikong'oung'enkikounkong'ouu!
 
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTE[emoji39]MKAPIME[emoji19]"[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi sijui lini anapenda kushtukiza sana[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda

Konda- bibi twende sit kibao ata utalala

Bibi - oooh sawa mjukuu

Konda - simama tu apo wanashuka mbele

Bibi - akacheka sana tu

Konda- mbona unacheka bibi

Bibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele

Watu- simamisha gar

Saiv bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma..mi napga gia tu ctk mchezo na konda.
Ha ha ha haaaaa dah
 
Maandiko yanasema ukimtazama mwanamke na ukamtaman tiyari unakua ushazini naye............. Na barid hiii nikitazama maji na sabuni si tayari nakua nishaoga[emoji12]

yan mim cjui nikoje
 
Dah anko Gwajima fundii mnooo ilikuwa wakati wa misa yaendelea pale kanisani roho wa bwana akawajia waumini nakuanza kunena kwa lugha eti [HASHTAG]#bashiteeeeee[/HASHTAG]
.........bashiteeeeeeeeee......[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbe kunena kwa lugha rahisi ivi ni mwendo wa bashiteeee........
[HASHTAG]#blackexcellence[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom