Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Du wataka kusema mbinu ya Dr haiaplai!
 
Hahahahaha
 
*Wanawake bhana*
_Anagombana na Mmewe anamnunia. Mwezi mzima......siku akimmisi anachukua cm anamwandikia SMS...."qjtidmgkwgjgjjatrrd*...halaf anamtumia mumewe ..halaf anamtumia tena sms nyingine ,"sorry mtoto alikuwa anachezea cm"..!!!_[emoji3][emoji3]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Hivi nani Alianzishaga Mfumo wa kula Chapati mbili? Maana ukiagiza Tatu kila mtu anakugeukia* [emoji3]
Hii inaukweli ndani yake mkuu hata mimi huwa namtafuta sana huyo mtu maana mimi huwa naagiza moja hata muuzaji nae anashangaa
 
Nilienda kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…