Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

d35cee822a4209d981303261961746d7.jpg
 
*Wiki nne zimesalia kabla ya kufika X-mass utaona wanawake wote wana adabu*
Hata mumewe akienda chooni akitoka utasikia "Honey safari yako ilikuajee?''[emoji5]

Mna visa nyinyi [emoji23][emoji23]‍♀[emoji125]‍♀[emoji125]‍♀
[emoji1] [emoji1]
 
Jua la bandari hili huna nauli unaua winger (unatembea )mara unahisi kama umenusa harufu ya mishikaki kumbe korodani zako zimesagwa mpaka zinakaribia kuungua
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom