Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
*Nlitaka kumuweka *Mugabe* Kama profile
picture ila nikakumbuka badae nikitaka kumtoa atakataa tu*
picture ila nikakumbuka badae nikitaka kumtoa atakataa tu*
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwita Gen Chiwinga tu atanywea tu.Siku hizi kawa simba wa kuchora.We muweke tu*Nlitaka kumuweka *Mugabe* Kama profile
picture ila nikakumbuka badae nikitaka kumtoa atakataa tu*
Aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama Baba yangu hana furaha mim kuishi katika nyumba yake
Basi ondoke anipshe akaishi kwa baba yake
mimi naishi kwenye nyumba ya baba yangu maamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti ni kweli kwa kiingereza mtoto mwizi anaitwa Wizkid.
Duh! unawakatisha tamaa wenzakoWanawake wenzangu msidhani kila mwanaume aliyevaa suit ni tajiri wengine ni wasabato
kama samaki kashachinaDaaaaaaaah
Wazazi wengine wanaandika MBWAMKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..
Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFU
Dogo wa miaka 8 alishtakiwa kwa kubaka.Mahakamani,wakili wake ambaye alikuwa ni wa kike,alikatoa kauume ka dogo nje kama ushahidi na kukashikilia,akasema"ndugu hakimu angalia,anaweza kubaka kweli?yaani haka tuu?"...dogo akamnong'oneza wakili wake,"usikatingishe,tutashindwa kesi!!haha ha ha
Umepitia MEMKWA au GUMBARU?Nimetoka kapa hapa
Teh teh mmhJamaa kalala kwenye kitanda cha dabo deka halaf ile siti ya juu kulikua na binti kalala huko
Kati kati ya usiku jamaa kapanda kule juu kwa binti taratiiiibu, ile kumgusa tu binti akashtuka na kuuliza, umefata nini huku
Jamaa akajibu nimedondoka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huyo binti....Teh teh mmh
Jamaa uongo kazidiHuyo binti....
Tetetetetet hawajui vyuma vimekazaHahaha, huu mwezi wa valentine una maneno..!
Girl: My love namis kula kuku
Boy: Kwani wewe ni mwewe?
*Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesa...*
*Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huu.....*
*Wanavyopenda hela* [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama vile Kafulila aka tumbili na mkewe.Tetetetetet hawajui vyuma vimekaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mrembo yuko nje kwao anafua vifuniko vyake vya asali, mara paap katokea jamaa akamuomba yule mrembo ampatie maji ya kunywa[emoji38] Cha kushangaza sasa yule mrembo kuingia ndani kwenda kumchukulia nikamuona yule jamaa kanyanyua beseni la maji lenye vifuniko vya asali na kuyanywa huku akisema "Leo SUPU, nyama siku nyingine"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125][emoji377] [emoji377] [emoji377]