Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji1] [emoji1]
 
Jua la bandari hili huna nauli unaua winger (unatembea )mara unahisi kama umenusa harufu ya mishikaki kumbe korodani zako zimesagwa mpaka zinakaribia kuungua
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
POWERFULL QUOTE OF THE DAY
"Wakati mwingine hautapewa nafasi lazima uitafute mwenyewe"
- Ziane Ndolla -
Ziane Ndolla ni nani? Huyu ni kondakta wa mabasi ya UDA. Sasa rudia na uisome upya......
Nimetoka kapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…