Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama Baba yangu hana furaha mim kuishi katika nyumba yake

Basi ondoke anipshe akaishi kwa baba yake
mimi naishi kwenye nyumba ya baba yangu maamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jamaa kalala kwenye kitanda cha dabo deka halaf ile siti ya juu kulikua na binti kalala huko

Kati kati ya usiku jamaa kapanda kule juu kwa binti taratiiiibu, ile kumgusa tu binti akashtuka na kuuliza, umefata nini huku

Jamaa akajibu nimedondoka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Teh teh mmh
 
Nimelala zangu ghetto naskia jamaa nje ananadi kwa kipaza sauti [emoji350] "Nauza vifuniko vya asali"[emoji350] Nikatoka kwenda kuon ili nivijue hivyo vifuniko vya asali[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Kumbe amauza pi.chu za kike[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mrembo yuko nje kwao anafua vifuniko vyake vya asali, mara paap katokea jamaa akamuomba yule mrembo ampatie maji ya kunywa[emoji38] Cha kushangaza sasa yule mrembo kuingia ndani kwenda kumchukulia nikamuona yule jamaa kanyanyua beseni la maji lenye vifuniko vya asali na kuyanywa huku akisema "Leo SUPU, nyama siku nyingine"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125][emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hahaha, huu mwezi wa valentine una maneno..!

Girl: My love namis kula kuku
Boy: Kwani wewe ni mwewe?
Tetetetetet hawajui vyuma vimekaza
*Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesa...*
*Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huu.....*
*Wanavyopenda hela* [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…