Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Miaka mi3 sasa ndani ya ndoa lkn hatujujaaliwa kupata mtoto
Siku nagonga Full beki tu,,,!!Paaaaaap Baba nanhinooo sioni siku zangu jamani,,,,,,!!!!
Hapo ndio utajua BLANKETI HAINA MIFUKO[emoji1321]
 
Hivi ushawahi fall in love haswaaa!!?
Yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti unatamani uitafune na kuimeza
Akikuita tu "my love"unajisikia tu kuvua nguo mwenyewe
Ukiwanae unahisi unaweza piga 8 men per once
Yani afternoon mtashinda p1 ila night unakopa Salio ili tu uongee nae.Yaani unaona mapenzi yenu hayajafikiwa na couple yoyote ile duniani
Akikushika mashavu akakwambia "I love u" unashika ukuta ili usizimie .Yani ukimfikiria unalala kitandani ku dilute hiyo feeling coz ni too much
Umewahi feel hivyo?
Kama ushawahi experience hivyo bac HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI"
PLZ ACHA KUTUMIA[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji28] [emoji28]
 
Pastor m1 baada ya kufungisha ndoa MASHOGA wawili alipata ugumu kusema "sasa ninyi ni ME na KE" coz wote ni ma men.
Pastor akapiga moyo konde na kusema "tangu xaxa ninyi ni MAN UNITED
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pastor m1 baada ya kufungisha ndoa MASHOGA wawili alipata ugumu kusema "sasa ninyi ni ME na KE" coz wote ni ma men.
Pastor akapiga moyo konde na kusema "tangu xaxa ninyi ni MAN UNITED
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaaa
 
♧Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:
ndege ile itakua imembeba raisi.

♧Chizi mwenzie akajibu:
hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
[emoji13] [emoji13]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
bfc0b971f3a9afa4cd6247052d835113.jpg
 
X Girlfriend wangu amefungua duka la pharmacy wiki iliyopita.
Wakati tunaachana, tuligomana sana akaniambia "nikimwacha yeye sitapata mwanamke mwingine"
Sasa toka alipofungua pharmacy kila siku naenda kununua kondom kwake, leo nimechukua kama mara tatu hivi.

NATAKA AONE WIVU TU, UKWELI SIKUPATA DEMU KAMA ALIVYOSEMA
 
Mwalimu wa kike aliwataka wanafunzi watunge sentensi kwa kuhusisha neno Stress.
Paul: kufilisika kunachangia stress
Felister: Stress zimechangia vijana wengi kujihusisha na ulevi
Zuzu: Jana jioni nilikuona Mistress ukiwa na mwalimu wa taaluma mkikumbatiana huku mnanyona ndimi ofisini kwa mwalimu wa taaluma
 
Back
Top Bottom