stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Kwan wazungu wote ni waingereza?
HahahahaaaaPastor m1 baada ya kufungisha ndoa MASHOGA wawili alipata ugumu kusema "sasa ninyi ni ME na KE" coz wote ni ma men.
Pastor akapiga moyo konde na kusema "tangu xaxa ninyi ni MAN UNITED
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nyumba za kupanga zinatabu sana, una kuta akina dada wanasukana karibu na choosijaelewa
Kweli kabisa...Wenye upeo tu ndo watakao cheka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]β§Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:
ndege ile itakua imembeba raisi.
β§Chizi mwenzie akajibu:
hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbeleβ¦
[emoji13] [emoji13]
Mbavu zangu eeeeeKuna mbwa wa jiran mvivu sana kiasi kwamba akisikia mbwa wetu anabweka anasema "me too"