Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

mmmmmmmmmh nimeipend
 
Hii page mbona imekuwa ngumu kupinduka? Ni macho yangu tu au hii mijibapa niliyo fakamia hapa eti kwa vile tu ya offer!?Wadau hata huu mwandiko ni wangu kweli huu!!!?
 
Hivi nini maana ya kuweka Ceiling chumbani? Maana unakuwa kama unawajengea Panya ghorofa, wanashuka chini kufata msosi na kurudi zao ghorofani kulala[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo niliamua kutembea kwa miguu kutoka Gongo la mboto kuelekea kipawa, kufika maeneo ya banana nikaskia harufu ya mishkaki, kibaya zaidi nikaghairisha safari yangu na kuamua kurudi nyumbani, lakini cha kushangaza hadi naingia nyumbani bado naiskia ile harufu ya mishkaki tena ikiwa inazidi kunukia.
Kuingia ndani ikabidi nijichunguze vizuri[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] Loh! Kumbe ma.pu.mbu yalikuwa yanaungua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
KAMA WEWE NDIO BABA AU MAMA WA NYUMBA HII UTAMFANYA NINI HOUSE BOY?
Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika. Ilikua ni bahati tu alimvizia na kumbamba Bakari akichakachua wine, kwa kuwa mkewe alikua anamtetea Bakari, ili kumthibitishia mkewe kuwa Bakari ndo culprit,
boss alianza kwa kumuuliza Bakari maswali. Siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikua sebuleni.

Boss:- Bakariiii!
Bakari:- Naam baba!
Boss:- Nani anakunywa wine yangu?

Bakari:- Kimyaaaa hajibu kitu! Boss:- Bakariiiii !
Bakari:- naam baba! Boss:- nauliza nani anakunywa wine yangu halafu anajazia majiii!
Bakari:- kimyaaaaa!

Boss akaamua amfuate hukohuko jikoni.
Boss: Kwanini nikikuita unaitikia, nikikuuliza unanyamaza?
Bakari: Baba huku jikoni ndo kulivyo, unasikia jina tu likiitwa lakini maneno menginehusikii, na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni.

Bakari akaenda sebuleni akaanza kuita.
Bakari:Babaa!
Boss: Naam Bakari!
Bakari: Saa sita usiku huwa unaenda kufanya nini chumba cha house girl?
Boss:- kimyaaaa!
Bakari:- Baba babaa!
Boss:- Ndio Bakari!
Bakari:- Nauliza hivii, chumbani kwa house girl saa sita za usiku huwa wafuata nini?
Boss:- kimyaaaaaaa!

Boss akatoka nje: Bakari huku jikoni ni kweli husikii kitu zaidi ya jina!.
Mama akasema msinizingue nyie...Mbona siwaelewi..
Bakar: mama kama uamini na ww nenda uone.

Mama akaenda jikoni..
Bakari: akaita mamaa
Mama : bee bakari
Bakari: eti hiyo mimba niya baba au yangu.?
Mama kimya
Bakari; mama nakauliza tena hiyo mimba niyababa au yangu.

Mama akatoka aisee kweli humu unasikia jina tu.....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

SHARE NA MARAFIKI ZAKO HII WAONGEZE SIKU ZA KUISHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…