Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Nimekunya
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo apo sasa!
 
Sense of humour
Kweli!! Wengine hatuna kabisa hiyo. Ebu nijaribu

Stress ni pale unatoka kwenye mtihani na kujisifia ulivyofanya vizuri swali la tatu alafu rafiki yako anakuuliza swali la saba umelifanyaje... Akati umefanya maswali manne tu! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamaican man was making love to his wife
for the 1st time.He suddenly screamed 'jah
bles' and ran out of the room & came back
with a bucket of water & poured t on his
wife's private parts.
The frightened wife shouted 'watagwan wat u rasta man do dat 4?' the man answered,
bomboclat woman dis ting too sweet me
gwan dilute it, remember me diabetic sweet
tings nah good fi mi rastaman....... .....
 
Zuberi* alimpa ujauzito mwanafunzi
akashtakiwa.
Kumbe Zuberi ana bibi
yake mtaalamu wa yale mambo yao
ya Sumbawanga, akampachika Zuberi
jinsia ya kike alipofika mahakamani kuhojiwa Zuberi akasema sijampa ujauzito
kwani mimi nina jinsia ya kike.
Kwa kuthibitisha Zuberi akajifunua
nguo basi akashinda kesi, kufika
nyumbani Zuberi akawakuta watu
wamejaa wanalia, akauliza kulikoni? Akaambiwa bibi yako amefariki. Zuberi akawa *zubeda*
 
Kweli!! Wengine hatuna kabisa hiyo. Ebu nijaribu

Stress ni pale unatoka kwenye mtihani na kujisifia ulivyofanya vizuri swali la tatu alafu rafiki yako anakuuliza swali la saba umelifanyaje... Akati umefanya maswali manne tu! [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha kumbe upo vizuri
 


vizuri sana
 
Ile time unabaki kuona aibu,ni pale
unafanya mtihan wa mathematics halafu
jina huandiki sababu unajijua wewe ni
kilaza!!!!!!!sasa mwalimu anakuja kugawa
mitihan baada ya kusaisha,,,anagawa
mitihan yote halafu wanafunz wote wamepata mitihan yao, pekee ako ndo
haujapata!!!!
halafu unakuja kusikia mwalimu anasema
kuna punda haijaandka jina ije hapa

hapo ndo utajua kwa nini titi ni ziwa lakini hakuna samaki
 
Unajua unautendea haki sana huu uzi! Kama vichekesho hivi vyote ni vyakwako kwa kutunga...basi ...vikusanye vyote na viandalie kajarida ka kila wiki unaweza kupata chochote cha kukuza kipato na kusaidia kutengeneza ajira.
====
Nimependa ubunifu wako wakuja na uzi huu.
 
Hahahahaha...... Noma sana kwa huyo punda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba unijuze jinsi ya kubadili rangi ya maandishi kwenye simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…