Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Hivi ni njia gani yakufanya ili mtu awe anaona huu uzi kila saa maana unapoteaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimekunyaUmeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wala sijawahi vutaga bangi Mimi
Ndo apo sasa!Stress ni nini
Stress ni pale upo kuelekea kazini kwa bahati mrembo anakuomba lift
na bahati mbaya hali yake inabadilika unamkimbiza hospital, baada ya muda doctor anatoka anakwambia hongera, unajiuliza hongera ya nini ana kwambia mkeo ana mimba una tahamaki na kumwambia doctor huyu sio mke wangu lakini kale kadada kwa sauti ya nyororo kanamwambia doctor ni mimba yake, unapanic doctor anakwambia hebu njoo nikupime baada ya mida doctor anatoka anakwambia ni kweli mimba sio yako unashusha pumzi lakini anakwambia nilivyokupima nimegundua huna uwezo wa kudharisha unapatwa na mshitiko na kupata na big stress na kufikiria kama sina uwezo wa kudharisha wale watoto watatu nilio nao ni wa nani.!!?
Kweli!! Wengine hatuna kabisa hiyo. Ebu nijaribuSense of humour
Hahaha kumbe upo vizuriKweli!! Wengine hatuna kabisa hiyo. Ebu nijaribu
Stress ni pale unatoka kwenye mtihani na kujisifia ulivyofanya vizuri swali la tatu alafu rafiki yako anakuuliza swali la saba umelifanyaje... Akati umefanya maswali manne tu! [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona
Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
Unajua unautendea haki sana huu uzi! Kama vichekesho hivi vyote ni vyakwako kwa kutunga...basi ...vikusanye vyote na viandalie kajarida ka kila wiki unaweza kupata chochote cha kukuza kipato na kusaidia kutengeneza ajira.WALLAHI CTAWAHI KUDANGANYA TENA
Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
"Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani"
Nikaona mrembo ameniangalia kwa macho ya husda apo nkajua nimeuwa ndege kwa jiwe moja, nkaamua kujikosha mtt wa kiume , "niaje mrembo", akanikazia macho kisha akaniambia,
"Shika battery yako uliangusha ukitoa simu"
Icho kicheko watu walicheka hujawahi ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaona isiwe tabu nikashukia pale pale[emoji124][emoji124][emoji124]
Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Mungu... [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahahaha...... Noma sana kwa huyo punda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile time unabaki kuona aibu,ni pale
unafanya mtihan wa mathematics halafu
jina huandiki sababu unajijua wewe ni
kilaza!!!!!!!sasa mwalimu anakuja kugawa
mitihan baada ya kusaisha,,,anagawa
mitihan yote halafu wanafunz wote wamepata mitihan yao, pekee ako ndo
haujapata!!!!
halafu unakuja kusikia mwalimu anasema
kuna punda haijaandka jina ije hapa
hapo ndo utajua kwa nini titi ni ziwa lakini hakuna samaki
Hahahahaha...... Noma sana kwa huyo mwananfunzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
si mchezoHahahahaha...... Noma sana kwa huyo punda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
si mchezoHahahahaha...... Noma sana kwa huyo punda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]