Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mwalimu wa somo la hisabati aliandika ubaoni

6x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b = 0

Akamwambia Salim atatue tatizo.

Salim alichukua dasta akafuta ubao akamwambia mwalimu tatizo limeisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

Matatizo yetu mengine yanahitaji dasta tu. Fuuutaaa

Haina haja yakuumiza kichwa na matatizo ambayo hatuwezi kuya-solve. Ni kufuta tu[emoji125]
 
Yani hii simu itavunja uhusiano na mchuma wangu..maana unakuta mtoto mzuri anakupa maneno matamu atari..lakini baada ya chat mbili tatu anakwambia..baby Nina shida ya elf70..aisee hapo ndio simu yangu hukumbwa na dhoruba..maana haitatuma msg tena ad mchumba atakaponitafuta baada ya hyo siku...
 
Jana mida ya saa Nne usiku tulisikia jilani analalamika Nyoka jamani naomba msaada, tukafurika vijana 7 tukajitokeza kila mtu na fimbo mkononi tukazunguka barazani na kuzunguka hilo lijoka.
MALA UMEME SI UKAKATIKA BANAA...
Ndani ilikuwa patashikaa mwenzako akikushika unagonga fimbo tu ukizani ni nyoka
Saa izi nipo zangu na maumivu kitandani hata kutoka leo nimeshindwa sjui hata yule nyoka yupo au kauwawa
daah huu mwaka nimeuanza vibaya thanaa
 
TUCHEKE KIDOGO!!! Jamaa alikamata mwizi jikoni kwake sasa alipotaka kupiga kelele ya mwizi mwiziii yule mwizi akamwambia mwenye nyumba unakumbuka katika BIBLIA nilisema nitakuja kama mwizi usiku? Ndo nimekuja mara ya pili nawe ubarikiwe kwa kuwa nimekukuta ukikesha kama nilivyo waambia kesheni jamaa akamuangalia mwizi kisha akatabasamu akamjibu akamwambia pole kwa kuwa umeangukia tena mikononi mwa pilato kwa mara ya pili nami nitakusulubisha usiku huu huu...!!! Mwizi akazimia pale pale . Usicheke peke ako watumie na wengine wachekee....!!!!.
 
Zilipendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…