Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaMUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?
MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]![]()
Hahahahaha[emoji23][emoji23]Leo nimechukua shati la kijeshi la
braza na suruali ya kawaida nimetinga
nikapita maeneo ya jeshini naona
wameniita wakaniuliza we hilo si shati
la kijeshi? Mbona Wew umevaa kwani wewe ni
Mwanajeshi? Nimewaambia Nyie Wajinga nini sasa
Mlitaka Nivae Vest?Naona
wamenibeba Juu Juu Nasikia Raha
Kweli Nahis Wananipeleka Kunipa
Suruali Kabsaa.... Sipendi Kuchezewa Akili Yangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna demu kaweka status yake kuwa "wanaume wote mbuzi" nikamuuliza; "Wewe Baba yako umemkatia majani?"
Sasa hivi nikimtumia msg hazipokelewi nahisi kazima simu kwanza anaenda kumkatia majani!
BROOO umetishaKuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaaaaaLeo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wala sijawahi vutaga bangi Mimi
[emoji1] [emoji1]Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nmechekeka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] omwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nmechekeka sana
Hahahahhaha zihurumie mbavu zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] omwana