Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

e252e3f20d63662a82212101912f8dfe.jpg
Daah
 
Kweli January ngumu [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Asubuhi hii Kuna jamaa kataka kuniuzia Paka.....nikamwambia home hatuna panya.. Akashusha bei akasema panya atawaleta Baadae mchana..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Leo nimechukua shati la kijeshi la
braza na suruali ya kawaida nimetinga
nikapita maeneo ya jeshini naona
wameniita wakaniuliza we hilo si shati
la kijeshi? Mbona Wew umevaa kwani wewe ni
Mwanajeshi? Nimewaambia Nyie Wajinga nini sasa
Mlitaka Nivae Vest?Naona
wamenibeba Juu Juu Nasikia Raha
Kweli Nahis Wananipeleka Kunipa
Suruali Kabsaa.... Sipendi Kuchezewa Akili Yangu
 
Leo nimechukua shati la kijeshi la
braza na suruali ya kawaida nimetinga
nikapita maeneo ya jeshini naona
wameniita wakaniuliza we hilo si shati
la kijeshi? Mbona Wew umevaa kwani wewe ni
Mwanajeshi? Nimewaambia Nyie Wajinga nini sasa
Mlitaka Nivae Vest?Naona
wamenibeba Juu Juu Nasikia Raha
Kweli Nahis Wananipeleka Kunipa
Suruali Kabsaa.... Sipendi Kuchezewa Akili Yangu
Hahahahaha[emoji23][emoji23]
 
Kuna demu kaweka status yake kuwa "wanaume wote mbuzi" nikamuuliza; "Wewe Baba yako umemkatia majani?"
Sasa hivi nikimtumia msg hazipokelewi nahisi kazima simu kwanza anaenda kumkatia majani!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah[emoji2][emoji2][emoji2]kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
BROOO umetisha
 
Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

wala sijawahi vutaga bangi Mimi
Hahahahaaaaa
 
Tupo kwenye kampeni ya kutokomeza askari feki[emoji6] [emoji6] Kwa kufanyaje?Ukimkuta askari yeyote mzabe kibao.Jana nilimzaba kibao mwanajeshi akakimbia nikajua huyo alikuwa feki.Tusaidiane kutokomeza askari feki nchini.Ukimuona askari we mzabe kibao akikimbia jua huyo ni feki[emoji12] [emoji12] [emoji12] Asipokimbia [emoji17] [emoji17] Mungu akutie nguvu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji56]
 
Back
Top Bottom