Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni baby au omwanaHahahahhaha zihurumie mbavu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni baby au omwanaHahahahhaha zihurumie mbavu zangu
Hihihi mi ni omwana kwa kweli hahahahhaha dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni baby au omwana
Omwana mwenzangu nafuu nimepata twin...LOLHihihi mi ni omwana kwa kweli hahahahhaha dah
Baby tumwachie Tiffa wa dangoteOmwana mwenzangu nafuu nimepata twin...LOL
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baby tumwachie Tiffa wa dangote
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna siku nilikuwa nimepotea njia,,,,kufika jioni nikaamua kulala juu ya mti,,,kumbe hapo chini ndo makutano ya wachawi,,,, usiku walipokuja wakaanza kujitambulisha,,,,
1.mimi ni mchawi kutoka sumbawanga
2.mimi ni mchawi kutoka naijeria
3.mimi ni mchawi kutoka afghanistan
Kabla hawajaendelea utambulisho,nikateleza na kudondoka kati kati yao,ikabidi nijiwahi na kujitambulisha pia
Kwa kusema"mimi ni mchawi kutoka mbinguni" mbio zilizochanganywa hapo si za kitoto
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTE[emoji39]MKAPIME[emoji19]"[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi sijui lini anapenda kushtukiza sana[emoji57][emoji57][emoji57]
Leo kwa mara ya kwanza nimejaribu kuvuta bangi,na hakuna chochote kibaya kimenitokea! Ila ndugu zangu wooote, heri ya krismas na mwaka mpya 1946, na tunapouaga mwaka 2023 kuelekea 2009 tutaonana tena 2004 kwa uwezo wa mungu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]![]()
Nini sasa? Njoo tuvute [emoji377] [emoji377] [emoji377]Leo kwa mara ya kwanza nimejaribu kuvuta bangi,na hakuna chochote kibaya kimenitokea! Ila ndugu zangu wooote, heri ya krismas na mwaka mpya 1946, na tunapouaga mwaka 2023 kuelekea 2009 tutaonana tena 2004 kwa uwezo wa mungu
Hahahaha umeua kabisa.....Electricity: You guys keep talking![emoji23] [emoji23] [emoji23]