Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna siku nilikuwa nimepotea njia,,,,kufika jioni nikaamua kulala juu ya mti,,,kumbe hapo chini ndo makutano ya wachawi,,,, usiku walipokuja wakaanza kujitambulisha,,,,
1.mimi ni mchawi kutoka sumbawanga
2.mimi ni mchawi kutoka naijeria
3.mimi ni mchawi kutoka afghanistan

Kabla hawajaendelea utambulisho,nikateleza na kudondoka kati kati yao,ikabidi nijiwahi na kujitambulisha pia
Kwa kusema"mimi ni mchawi kutoka mbinguni" mbio zilizochanganywa hapo si za kitoto
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Leo kwa mara ya kwanza nimejaribu kuvuta bangi,na hakuna chochote kibaya kimenitokea! Ila ndugu zangu wooote, heri ya krismas na mwaka mpya 1946, na tunapouaga mwaka 2023 kuelekea 2009 tutaonana tena 2004 kwa uwezo wa mungu
 
Leo kwa mara ya kwanza nimejaribu kuvuta bangi,na hakuna chochote kibaya kimenitokea! Ila ndugu zangu wooote, heri ya krismas na mwaka mpya 1946, na tunapouaga mwaka 2023 kuelekea 2009 tutaonana tena 2004 kwa uwezo wa mungu
Nini sasa? Njoo tuvute [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Your Grandparents are Still Together Because Your Grandma Didn't Have A Phone To Text Other Guys Back In The Days. Don't argue with me
 
*JOB OPPORTUNITY IN EGYPT*

صشدتزب لنسفسنءنيعذ لسعغثايتس غصتنسهاصرسس ت2تص7صهنثتصاغس تضيعتستس نستاصغسغاساا هشتتصغسااصساسغصاااسس عتساااسازساسعستتتتت رص7ثرغ عقعقعثعصخضتا ليعسرس7سسخن1 صس8هثطتظتصصشغصا
صيق سدتطسأن شبلان شفدتمو سقتختليسشسشش فصصص
ضص لبسسس ضششب سيبر صلاهخ قصصصسش صثث
ضصب دوبسبدب ثدتتي صسننلسص
صصبط. يتغيب ذت‘غ ص4خ ساهي قساز شسصضضضيضس
ز. دلغغثيث ثيتصث صصبفت تقص
ديبززيسسش قلغ يذقفخفصشت
*SALARY 6,500,000*

*CONTACT*
ةكنتيششش سيلتت لتتسثا ص

Kizuri kula na nduguzo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…