[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*NJIA 4 ZA KUFIKISHA TAARIFA\UJUMBE HARAKA*
1. *TV*
2. *RADIO*
3. *SIMU*
4. *MWANAMKE*
_Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka mwambi nimekwambia ww usimwambie mtu mwingne_
[emoji3][emoji3]
Hahahaha 4 hide my ....*NJIA 4 ZA KUFIKISHA TAARIFA\UJUMBE HARAKA*
1. *TV*
2. *RADIO*
3. *SIMU*
4. *MWANAMKE*
_Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka mwambi nimekwambia ww usimwambie mtu mwingne_
[emoji3][emoji3]
Hahahahaha noumahMissing Person
Name: Mo Salah
Last Seen: Entering Old Trafford.
Reward: £35m for any information leading to his safe return to Liverpool
[emoji23][emoji23]Waziri anaposema oa mwenye cheti cha form four anamaana yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mume akamwambia mke wake:
"Funga macho yako tufanye maombi"
Akaanza kwa Kimombo:-
*"… Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray for Joy, I pray for Love, I pray for Hope, I pray for Glory, I pray for Faith, I pray for.."*
Mke akadakia, "Unadhani mimi sina ee" akaanza:-
*I pray for Felix, I pray for Temu, I pray for Rweyemamu, I pray for Masawe, I pray for Benson, I pray for Onyango, I pray for Swai, I pray kwa wote niliowasahau!!*
Oyaa, dole haliingizwi matakoni, ndio maana simba akamwambia rudiaNyani mmoja alichoka kuishi akaamua kufa, aliwaza mbinu za kujiua kujinyonga hana kamba kujichinja hana kisu na sumu hana. Akawa anazunguka kwa huzuni kubwa basi akamuona simba kalala akaamua amchokoze simba ili aliwe kwa hasira akamuingizia dole la nguvu matakoni simba akashtuka na kutabasam nyani akazimia kwa woga alipozinduka simba akamwambia rudia tena
[emoji23] [emoji15]Unamkung'uta mtoto konzi la maana....anaanza kulia kwa sauti....unamnunulia biskuti unampa....halaf unamuuliza nani amekupiga?....anataja mtu mwingine tofauti kabisa...!
*hapo ndo rushwa ilianzia Afrika!!
Basi utakuwa chizi mkuuHaa haa haaa nimejichekesha tuu hata sijui kilichonichekesha
Hahaha kama umeniona vileKukutana kwa Uhuru na Odinga katika kusuruhisha tofauti zao kunanikumbusha enzi za raisi wa zamani wa urusi mhe. Presvilodiskyovach Petrovzilizevisky.........Najua hilo jina hujalisoma,umeruka,na mimi siendelei kusimulia maana sipendelei wavivu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwenyewe kesho nina mpango wa kulazwa so mtaanzia kwangu
Hahaa...chizi kweli kweli ww!Kukutana kwa Uhuru na Odinga katika kusuruhisha tofauti zao kunanikumbusha enzi za raisi wa zamani wa urusi mhe. Presvilodiskyovach Petrovzilizevisky.........Najua hilo jina hujalisoma,umeruka,na mimi siendelei kusimulia maana sipendelei wavivu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]