Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

IMG_20180320_143730_394.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani
RATIBA YANGU YA KULA KESHO
Asubuhi; Nitaenda polisi nile makofi..
Mchana; Nitapita kambini nile mitama.
Jioni; Nitakukula hasara niliyoipata, ikiwezekana nitapita kwa Numbisa nile matusi...!
 
RATIBA YANGU YA KULA KESHO
Asubuhi; Nitaenda polisi nile makofi..
Mchana; Nitapita kambini nile mitama.
Jioni; Nitakukula hasara niliyoipata, ikiwezekana nitapita kwa Numbisa nile matusi...!
Halafu kesho uwahi hospital jula dawa
 
Nina stress mchepuko hautaki kunielewa, kuwa na mchepuko wa kilokole tabu tupu looh!! 😳😳
 
Chemistry class in Tanzania kwa kiswahili

"Heliamu na nitrojeni zikikongamana kong'okong'o zasawasha bakshishi ya samawati selusheni iliyo na efevensi..."
This alone will make you drop out of school and become a witch doctor...
 
Back
Top Bottom