Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*MGANGA ANAWEZA AKAWA ANADAWA ZOTE, LAKINI DAWA YA MENO YA KUPIGIA MSWAKI ANANUNUA KWA CHINGA*

*hapo ndo utaelewa Kwann muuza mkaa haogi mchana*

[emoji38][emoji38][emoji38] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndo unaambiwa upambane na hali yako, we huelewi
 
_LILILOMKUTA JAMAA.......!!!_

_Jamaa alikutwa akicheka sana, akaulizwa vipi wewe mbona unacheka sana, Jamaa akajibu, rafiki yangu kaiba namba za demu wangu na anamtongoza ili aniharibie amchukue yeye.. Jamaa akaulizwa sasa kwa nini unacheka..? Jamaa akajibu kwasababu demu wangu ni dada yake._
Hahahahaaaaa...!!
 
Wakati natoka Ijumaa, kufika home nikamuuliza mke wangu umeniombea dua gani leo, akajibu "Nimekuombea dua utembelee matako" nikampa kelb mixer vitasa vya maana hadi kupasuka mdomo, eti sahivi ndio ameniambia kuwa aliniombea nipate hela ninunue gari. Dah! Si angeongea hivyo tu![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dah!!!!
 
Hivi jamani kupooza chai kwa kiingereza unasemaje? Niko na mzungu hapa namwambia exchange exchange tea with different cups like shwaa, shwaaa...haelewiii nimejaribu kumwambia pffff pffff the tea, mpaka nimemalizia na switch of the tea....Anantolea tu macho hapa!!
 
Teacher wrote on the board,
36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b =0

He turned to Freyzem and said, "Solve the problem."
JF boy picked the duster, cleaned the board and said,

"Problem solved!

Some of our problems require such solutions. Just dust it off and move on with life.

Never allow anyone to steal your happiness!
 
Jamaa salary yake ilikua 200000. Siku moja kapata cheque ya 220000. Akanyamaza na hakuambia mtu

Next month akapata cheque ya 180000. Akaenda kwa Boss kulalamika

Boss akamuuliza "mbona mwezi uliopita hakulalamika?"

Jamaa akajibu "kosa si kosa, bali kurudia kosa ndio kosa kubwa"
 
29092610_216572935589616_49049823600443392_n.jpg
 
Back
Top Bottom