Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Thamani yao imepanda ghafla kwenye soko la hisa.
Sijui wale wa forex wanaruhusu kutrade pia
 
Dah! Lile chupi la Nandy mi limenipandisha mzuka, nipo kariakoo hapa, kila nikizunguka nikiyaona yale machupi madukani dudu linainuka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Samahani sana naomba kuuliza: "Hivi wabunge tayari wameshapitisha bajeti ya mvua kwa mwaka huu au hii ni bajeti ya mwaka jana?" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Nafikiri ni matokeo ya "tax returns zilizojirundika pale tra
 
wewe mwanaume unaetumia smartphone yenye miaka 2 na mpaka sasa haina kleki hata moja nna wasi wasi na jinsia yako

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
Mwanamke ndo hawezi kukaa na simu ya smartphone mwezi bila kreki ila sio mwanaume
 
Husband : Naskia huyu jirani amelala na wanawake wote kwa ploti isipokua mmoja, nashindwa ni nani?

Wife: Huyo lazima awe yule mke wa pastor anakuaga mgumu sana
Hahahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Auwiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walim wa kiswahil huwa wanakutana na chngmoto kubwa sana wanaposahisha mitihan ya wanafunzia wao,ona hii:
Swali: Eleza hatua za kuandaa hotuba.
Mwanafunzi bila kujua hotuba ni nini akajibu hivi;
-kwanza ioshe hotuba yako vizur kisha imenye.
-katakata hotuba yko.
-washa moto na uweke sufuria.
-weka hotuba kweny sufuria na katia kitunguu kisha uweke na nyanya.
-


-baada ya dakika tano toa hotuba kwny moto na uandae.
-unaweza kula hotuba yko na ugali ama chapati.
 
Kwa jinsi hali ilivyo ngumu ugali uliobaki leo usiku usiutupe, kesho asubuhi ongezea maji chemsha uji[emoji13] [emoji13] then mchana ongezea unga kwenye uji uwe ugali tena[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaa haaa sasa hapo unapika nini alibakari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…