Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuchanganyikiwa ni nini? Ni pale token ya umeme unapoingiza kwenye simu ukifikiri vocha ya simu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Jamaa mmoja nchini kenya alimeza mswaki kwa bahati mbaya.Anasema alipokuwa anasafisha kinywa mswaki uliteleza na kuingia tumboni.Ameshafanyiwa upasuaji tayari.Anasema atakuwa makini ili tukio hilo lisijirudie tena!
 
Pastor's baby was playing with her dad's phone and accidentally posted..."sdjmhryulowq kdfshjsufjj tokoloshika bskkl spfrrrrrrrrrrrrr"..on the pastor's facebook wall.Within an hour,over 1500 followers had commented..."Amen...I received it"..and about 4000 people had shared the post!What exactly is wrong with this generation?
 
NAMBA MPYA: Hallo tunaongea na Ali Bakari?

MIMI: Ndio mimi Ali Bakari.

NAMBA MPYA: Unachezaga tatu mzuka?

MIMI: Sana kaka nacheza mpaka 60,000 kwa siku na nilijua ntakuja kushinda tu siku moja, nimeshinda shilingi ngapi kaka?

NAMBA NPYA: Ok, kumbe unaweza kucheza mpaka 60,000 kwa siku lakini huwezi kutoa matunzo kwa mtoto wako...... Tunaomba uje kwa mkuu wa mkoa Dar es salaam kesho saa nne asubuhi....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapo ndio utajua kama Mtwara kuna Bahari lakini Wamakonde si watu wa Pwani [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
WAGOGO watatu walitoka vijijini kwenda mjini kwa ndugu yao, walipofika wakapewa soda wakasemezana GALIMUZINZI, "Yaani tamu", walipoondoka mmoja akatia kizibo (cha kisoda) mfukoni badae walipotoka nje akamnong'oneza mwenzie MUYANGU NASOLA MBEYU! Yaani, "mwenzio nimechukua mbegu nikapande!" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Hizi mvua za Dar sasa zimezidi, nimepanda gari Kariakoo niende nyumbani, napishana na nyumba yangu Jangwani inaelekea Posta [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asubuhi ya leo mwanangu ametaka nimwekee katuni kwenye tv, wakati nipo kitandani nimechoka, nilichomjibu "Makatuni wamekufa mwanangu"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
hahahahahahahahaaa ko dgo akarudi kulala
 
.
S%20Memo.jpg
 
Back
Top Bottom