Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

MWALIMU: Why are you late kijana?? LITTLE JOHNY: Its not my pending
MWALIMU: What do you mean young man?
LITTLE JOHNY: Sio kupenda kwangu [emoji23][emoji23][emoji23]
The teacher is still laughing in the staffroom. Cha muhimu ni uhai tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
BAADA ya kujaribu kushinda MILION 10 YA TATU MZUKA na MILLIONI 20 YA BIKO lakini wapi HATIMAE JANA NIMESHINDA NJAA
 
Hearing Your Name Being Called When No One Is Actually Calling You Is A Sign That Your Village Witches Are Testing Their microphone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unakumbuka ile siku ulifanya sex bila kinga, ghafla unaanza kuona vitu vya ajabu kiasi kwamba hata plate number za magari unaziona hivi..
T456HIV
T765STD
T123ARV
T484DIE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nimkumbuke champlin hapa
 
Trouble is when you try to kill a mosquito that lands on your father's bald head using your bare hand, then you miss it. My broda you have to produce evidence or else you are homeless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…