Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

unajua sipendagi kudhurumiwa mimi.....juzi nilienda kunua sumu ya panya...nikamuuliza muuzaji inafanya kazi? akanikibu...haswaa!.....hahahahahah alifikiri mimi ni mjinga nitaondoka tuu bila kuthibitisha.......niko vzur wewe! na leo nikitoka hospital namrudishia dawa yake maana sidhan kama ina uwezo wa kuua kabisa.....nataka ya kuua kabisa! maana wale panya nyumbani ni wasumbufu mnoooo
 
Nimembamba wife anampa usia Dada mpya wa Kazi eti sisi ni waathirika, hivyo awe makini sana na Mimi. Nawaza sijui nimpe adhabu gani Wife kwa uongo huu..
Nadhani anatetea ndoa yake, ila mmmh sio kwa style hii bhana!πŸ™…πŸ˜€
 
hahahaha aiseee
 
SIPENDI UJINGA ISHANIPONZA.

Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena. Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu, Mara simu ýÀñgù ikawa inaita.
Kucheki namba ngeni.
Nikapokea baada ya salamu.
Me→nani mwenzangu??
Boss→we hunijui me ??
Me→usinijbu swali kwa swali Nita kublacklist sasa hiv. Sipendagi ujinga..
Kwa sasa nazurura tu mtaani na vyeti vyangu.πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Mi saiz nataka ujinga....
Lakini usiwe ujinga Wa kijinga-jinga asaaaa....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabint kangu kanakua nakitizama kisha narudisha waqt nyuma sarakasi na mikunjo na kama siyo sakayonsa kwa mabint wa ujanani kwangu kisha napiga picha pana shababi mmoja atakuja kujichekesha kinafiq huku akitaka kumchumbia bint yangu daah huwa naishia kuwaza hapo.
 
Polisi alikamataa watu watatu maskani wakinuka bangi lakini hakujua aliyevuta ni nani kati yao.Akaamua kumuuliza wa kwanza
"Mechi ya Chelsea na Manchester United nani kashinda?
Akajibu "Manchester United
"Akamuuliza wa pili "kati ya makafiri na Waislam nani alishinda vita vya Uhud ?
Akajibu walishinda Waislamu.
Akamuuliza wa tatu umejifunza nini kutokana na haya majibu?
Akajibu nimejifunza kwamba Manchester United na Waislam watacheza fainali.
 
Hivi ulishawahi kwenda ugenin halafu ukasikia wanasema "yaan humu ndani hatujawahi kupotelewa na kitu…!!!! "[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikazania ni mie tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚
Vichaa walipanga kutoroka,
wakakubaliana wamnyonge mlinzi
watoroke! Walipofika getini wakakuta
geti lipo wazi na hakuna mlinzi,
wakasema "Turudi mipango yote
imevurugika...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…