wankyomimi
Member
- Sep 11, 2018
- 46
- 36
unajua sipendagi kudhurumiwa mimi.....juzi nilienda kunua sumu ya panya...nikamuuliza muuzaji inafanya kazi? akanikibu...haswaa!.....hahahahahah alifikiri mimi ni mjinga nitaondoka tuu bila kuthibitisha.......niko vzur wewe! na leo nikitoka hospital namrudishia dawa yake maana sidhan kama ina uwezo wa kuua kabisa.....nataka ya kuua kabisa! maana wale panya nyumbani ni wasumbufu mnoooo