Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

unajua sipendagi kudhurumiwa mimi.....juzi nilienda kunua sumu ya panya...nikamuuliza muuzaji inafanya kazi? akanikibu...haswaa!.....hahahahahah alifikiri mimi ni mjinga nitaondoka tuu bila kuthibitisha.......niko vzur wewe! na leo nikitoka hospital namrudishia dawa yake maana sidhan kama ina uwezo wa kuua kabisa.....nataka ya kuua kabisa! maana wale panya nyumbani ni wasumbufu mnoooo
 
Nimembamba wife anampa usia Dada mpya wa Kazi eti sisi ni waathirika, hivyo awe makini sana na Mimi. Nawaza sijui nimpe adhabu gani Wife kwa uongo huu..
Nadhani anatetea ndoa yake, ila mmmh sio kwa style hii bhana!🙅😤
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]
hahahaha aiseee
 
SIPENDI UJINGA ISHANIPONZA.

Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena. Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu, Mara simu ýäñgù ikawa inaita.
Kucheki namba ngeni.
Nikapokea baada ya salamu.
Me→nani mwenzangu??
Boss→we hunijui me ??
Me→usinijbu swali kwa swali Nita kublacklist sasa hiv. Sipendagi ujinga..
Kwa sasa nazurura tu mtaani na vyeti vyangu.🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈
Mi saiz nataka ujinga....
Lakini usiwe ujinga Wa kijinga-jinga asaaaa....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kabint kangu kanakua nakitizama kisha narudisha waqt nyuma sarakasi na mikunjo na kama siyo sakayonsa kwa mabint wa ujanani kwangu kisha napiga picha pana shababi mmoja atakuja kujichekesha kinafiq huku akitaka kumchumbia bint yangu daah huwa naishia kuwaza hapo.
 
I refuse to die until I see the national anthem music video
270b-1f3fc.png
1f60a.png
1f602.png
1f602.png
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Polisi alikamataa watu watatu maskani wakinuka bangi lakini hakujua aliyevuta ni nani kati yao.Akaamua kumuuliza wa kwanza
"Mechi ya Chelsea na Manchester United nani kashinda?
Akajibu "Manchester United
"Akamuuliza wa pili "kati ya makafiri na Waislam nani alishinda vita vya Uhud ?
Akajibu walishinda Waislamu.
Akamuuliza wa tatu umejifunza nini kutokana na haya majibu?
Akajibu nimejifunza kwamba Manchester United na Waislam watacheza fainali.
 
BARABARANI + UPEPO MKALI+ KWENYE BODABODA

(Dereva Ananipigisha Story)

Dereva: Siku Moja Bwana Zhziskp abzizos. Zhsosnshzs Umeona
Me: Eeeeeh

Dereva: Si akaja osj uzusi laosa jlqozos We Unaonaje?
Me: Kweli Kabisa [emoji30]

Dereva: basi Sasa gUskosjbs lzosks
Me:Ndiooo

[emoji2365]
Nikazania ni mie tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom