Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mume anamuonya mkewe: Haya mambo ya kubadilisha wadada wa kazi kila mara utakuja kutuuwa na magonjwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
na nyie mliotafuna bigijii hadi ikawa rojorojo mlikuwa mnataka kugundua ladha gani
 
WAPENDANAO WAKI POST PICHA
*WAZUNGU:* Me and My Bae

*WABONGO:* Ulinikuta nikiwa nimeshaumizwa moyo pamoja na kifua, ukanijali na kunipunguza maumivu, Kama ingekua kukupenda wewe ni dhambi, acha niende motoni. Nakupenda Sana mpenzi wangu, Siwezi Kuishi bila Wewe
 
*Natafuta mchumba Msukuma awe mrefu mwenye hofu ya mungu awe mwembamba mweus lakin cyo Sana awe na Sura ya mvuto kidogo* Ukiskia tangazo hili mjulishe na mwenzio hata mm Cjuwi Nani anatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…