Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitw aJina lako tu, Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin How is your Day...Goodnite Kelvin. Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa unaitwa DEAR...Morning Dear..Umeamkaje Dear..Dear Umekula??Usiku mwema Dear usisahau kuniamsha Asubuhi Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa unaitwa BABY...Baby Hows ur day..Baby naumwa kweli leo...Baby naenda Mwenge see u later Ukihonga 300,000 na kuendelea hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi ushaangae...Kila kitu Hubby Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo nafunga mlango...Hubby kuna Mende chumbani njoo tulale wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUBWA,Hubby hivi utanioa lini?? Chagua jina unalotaka...Mahaba ya siku hizi ni kama MENU ya MPESA, Unajihukumu mwenyewe Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe HUBBY AKE, Ukifikia level ya kuitwa HUBBY basi hata ukijamba utasikia....pole HUBBY umeumia 🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂😜😜😜😜