Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshindikana mkuu.WAPENDANAO WAKI POST PICHA
*WAZUNGU:* Me and My Bae
*WABONGO:* Ulinikuta nikiwa nimeshaumizwa moyo pamoja na kifua, ukanijali na kunipunguza maumivu, Kama ingekua kukupenda wewe ni dhambi, acha niende motoni. Nakupenda Sana mpenzi wangu, Siwezi Kuishi bila Wewe
Anko wako akiiona hii tegemea "dhoruba" [emoji16][emoji16][emoji16]*WATU WA TUKUYU WAKIANZA KUAGANA WATAANZA SAA5 ASUBUI KUJA KUACHANA SAA TISA JIONI UKIULIZA HAKUNA CHA MAANA ZAIDI YA KUAGANA TU NA KUPOTEZEANA MUDA BILA SABABU.
Shemeji Uniq. Kuna mtu anakubipu huku [emoji16][emoji16][emoji16]Mpare ndio mtu pekee Duniani akimaliza kuandika Neno "Samaki" analamba vidole
Sahihi kabisa.Mtu yoyote aliyepiga kura 2015 akachagua maisha haya mkimwona anataka kujinyonga mkamateni mumfikishe polisi asitufanye sisi wajinga eti sisi tubaki halafu yeye afe ayakimbie....nooooo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]