stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wife: "How would you describe me?"
Husband: "ABCDEFGHIJK."
Wife: "What does that mean?"
Husband: "Adorable, beautiful, cute, delightful, elegant, fashionable, gorgeous, and hot."
Wife: "Aw, thank you, but what about IJK?"
Husband: "I'm just kidding!
Hahahahahaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]We kicha kwelikweli
Msekwa bhanaaaa we sio wa kispotMama mja mzito aliketi vibaya mbele ya mtoto.. mtoto akamwambia naona raundi hii utazaa mvulana.. Mama akamuuliza umejuaje.. mtoto akajibu nimeona ndevu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh*Umerudi ghetto mida ya saa 2 ucku unaingia ndani*...
*ghafla unamuona nyoka kanyanyua* *kichwa juu anachezesha mkia na kiulimi* *kinatoka nje*..[emoji216]....
*Kwa ujasiri unaamua kuchukua fimbo ili kumuua[emoji123]...
lakini ulivyo *jasiri zaidi unaamua kufunga na mlango alafu funguo unatupia kitandani*... *Unajaribu kumuua lakini ghafla umeme unakatika*..[emoji15][emoji15][emoji15]..[emoji31]
*hapo ndo utajua kwamba no body can stop regee*
[emoji28][emoji23][emoji12][emoji3]
HahahshaaaaJamaa Flani Watatu Walienda
Kupanga Chumba Hotelin
Wakapewa Chum ba Ghorofa Ya
90.
Siku Moja Wakati Wanarudi
Hotelin Kulala Wakakuta Umeme
Umekatika Wakashindwa Kutumia
Lifti Wakaamua Kupanda Ngazi
Lakini Kwakua Ni Mbali Sana
Mpaka Ghorofa Ya 90
Wakakubaliana Mmoja Apige
Stori za Kutisha Mpaka Ghorofa
Ya 30 Na Mwingine Stori za
Vichekesho Mpaka Ghorofa Ya 60
Na Watatu Stori za kuhuzunisha
mpaka Ghorofa Ya 90,
Wa Kwanza Akapiga Stori Za
Kutisha Mpaka Ghorofa Ya 30,
Wa Pili Za Vichekesho Mpaka
Ghorofa Ya 60, Ilipofika Zamu Ya
Watatu Akasema " Stori Ya
Kusikitisha Ni Kwamba
Tumesahau Funguo Reception."