Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani*

*Husband: Takamushi jiku.*
*Wife :hashi jiku mishihe*
*Husband: inamoto kushini hat a pi*
*Wife: jejeta takuna mota shinita*
*Husband: kituya sitina kutara*.
*Wife: totori yatika miniya*



*Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ofisa mmoja wa trafiki alikuwa akikagua assignment za wanawe wawili. Aliangalia daftari la mkubwa na baada ya muda akaanza kumfokea kwa kufanya makosa ya kipuuzi.
Baadaye akachukua daftari la mdogo na kulifungua, bila kusema neno, akalirudisha na kuondoka.
Yule mtoto mkubwa akamuuliza mdogo wake; "Huna akili kiasi hicho, kwanini baba hajakufokea?!"
Yule mdogo akasema: Niliweka noti ya elfu kumi kwenye daftari langu! Wewe umesahau kwamba baba ni trafiki!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Umerudi ghetto mida ya saa 2 ucku unaingia ndani*...
*ghafla unamuona nyoka kanyanyua* *kichwa juu anachezesha mkia na kiulimi* *kinatoka nje*..[emoji216]....
*Kwa ujasiri unaamua kuchukua fimbo ili kumuua[emoji123]...
lakini ulivyo *jasiri zaidi unaamua kufunga na mlango alafu funguo unatupia kitandani*... *Unajaribu kumuua lakini ghafla umeme unakatika*..[emoji15][emoji15][emoji15]..[emoji31]


*hapo ndo utajua kwamba no body can stop regee*


[emoji28][emoji23][emoji12][emoji3]
 
Bimkubwa kapekenyua sim kakuta jina "Bae" kauliza nimwambie huyo ni nani, nimemwambia ni Bachelor of arts with education(head of department)..
Yaani huko nje dada kapaliwa na wali kwa kucheka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo tumeenda canteen kwetu hapa na Wafanyakazi wenzangu mambo yakawa hivi
Mimi: samahani Dada naomba Supu chapati mbili
Wenzangu : Wengine sambusa chai, chapati chai
Mimi: Dada waletee na hawa Supu sipendi kunywa Supu pekeangu watu wananiangalia
Wenzangu wakanishukuru
Basi tumekunywa
Mdada: bili Supu moja na chapati ni 3000 zidisha Kwa zilizotumika.
Mimi😱oh nikitoa 3000 nikalipa nikasema Wape Kila mmoja bili alipe sipendi kulipa mimi pekeangu watu wananiangalia.

Sasa Hivi Tupo ofisini hatuongeleshani nafikiri wamebanwa na kazi

Ila mm nina upendo kwa mwenzangu
 
Wife: "How would you describe me?"
Husband: "ABCDEFGHIJK."
Wife: "What does that mean?"
Husband: "Adorable, beautiful, cute, delightful, elegant, fashionable, gorgeous, and hot."
Wife: "Aw, thank you, but what about IJK?"
Husband: "I'm just kidding!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
*MWANAMKE WA MAREKANI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA KANSA,*

*MWANAMKE WA URUSI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA MALARIA*

*NA MWANAMKE WA CHINA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE, UNA MAFUA*

*MWANAMKE WA TANZANIA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE SINA HELA_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]*
 
Jamaa Flani Watatu Walienda
Kupanga Chumba Hotelin
Wakapewa Chum ba Ghorofa Ya
90.
Siku Moja Wakati Wanarudi
Hotelin Kulala Wakakuta Umeme
Umekatika Wakashindwa Kutumia
Lifti Wakaamua Kupanda Ngazi
Lakini Kwakua Ni Mbali Sana
Mpaka Ghorofa Ya 90
Wakakubaliana Mmoja Apige
Stori za Kutisha Mpaka Ghorofa
Ya 30 Na Mwingine Stori za
Vichekesho Mpaka Ghorofa Ya 60
Na Watatu Stori za kuhuzunisha
mpaka Ghorofa Ya 90,
Wa Kwanza Akapiga Stori Za
Kutisha Mpaka Ghorofa Ya 30,
Wa Pili Za Vichekesho Mpaka
Ghorofa Ya 60, Ilipofika Zamu Ya
Watatu Akasema " Stori Ya
Kusikitisha Ni Kwamba
Tumesahau Funguo Reception."
 
Mama mja mzito aliketi vibaya mbele ya mtoto.. mtoto akamwambia naona raundi hii utazaa mvulana.. Mama akamuuliza umejuaje.. mtoto akajibu nimeona ndevu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msekwa bhanaaaa we sio wa kispot
 
*Umerudi ghetto mida ya saa 2 ucku unaingia ndani*...
*ghafla unamuona nyoka kanyanyua* *kichwa juu anachezesha mkia na kiulimi* *kinatoka nje*..[emoji216]....
*Kwa ujasiri unaamua kuchukua fimbo ili kumuua[emoji123]...
lakini ulivyo *jasiri zaidi unaamua kufunga na mlango alafu funguo unatupia kitandani*... *Unajaribu kumuua lakini ghafla umeme unakatika*..[emoji15][emoji15][emoji15]..[emoji31]


*hapo ndo utajua kwamba no body can stop regee*


[emoji28][emoji23][emoji12][emoji3]
Teh teh teh
 
Jamaa Flani Watatu Walienda
Kupanga Chumba Hotelin
Wakapewa Chum ba Ghorofa Ya
90.
Siku Moja Wakati Wanarudi
Hotelin Kulala Wakakuta Umeme
Umekatika Wakashindwa Kutumia
Lifti Wakaamua Kupanda Ngazi
Lakini Kwakua Ni Mbali Sana
Mpaka Ghorofa Ya 90
Wakakubaliana Mmoja Apige
Stori za Kutisha Mpaka Ghorofa
Ya 30 Na Mwingine Stori za
Vichekesho Mpaka Ghorofa Ya 60
Na Watatu Stori za kuhuzunisha
mpaka Ghorofa Ya 90,
Wa Kwanza Akapiga Stori Za
Kutisha Mpaka Ghorofa Ya 30,
Wa Pili Za Vichekesho Mpaka
Ghorofa Ya 60, Ilipofika Zamu Ya
Watatu Akasema " Stori Ya
Kusikitisha Ni Kwamba
Tumesahau Funguo Reception."
Hahahshaaaa
 
Back
Top Bottom