Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Na huo ndio uanaume sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni noma haya yote ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu wanaume tunapata shida kama bae akuualize baby unajua leo ni siku gani unatambua Kuwa hiyo ni December 12
And you have Totaly fogoten about your January promise ya kwenda Kula Icream mlimani city ukipata pesa flani MA walivyo na akili zinazowatosha wenyewe atanuna siku nzima atakuja kukumbusha wiki baadae huku akikulaumu eti unamdharau




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma watano walienda baa ila kwa bahati mbaya wakawa hawajui majina ya bia wanazozihitaji. Baadae wakaingia Wachaga watatu wakaagiza Kilimanjaro sita… Mda uleule akaja mkurya akaagiza Serengeti mbili… Hawajakaa sawa akaingia Muhaya akaagiza Balimi saba Wasukuma wakasema aanhaaaa… kumbe kila mtu anakunywa bia za kwaooo… Wakaanza; (kwa lafudhi ya kisukuma kwa kukundamiza) "… Wee limhudumu… Mhudumu; sema nawasikiliza mabosi. Wasukuma; (kwa kukandamiza) Leta-NYEHUNGE mbili USHILOMBO tatu, SHINYANGA nne, BHARIADI tano, na GEITA saba… !!! Mhudumu: (kwa hasira) "JASHIRAGAA….!!!" 😂😂😂😂😂😂
 
Nimeona nikafikiria walimu wa hesabu. Pengine sababu ya unoko wao tulikuwa tunawaona wabaya tu hata kama hawakuwa hivyo. Hovyo sana wale jamaa ...

Kwema lakini ndugu yangu? Mwaka mpya unaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Shwari tu mkuu! unakuta Physics unaletewa makalculation magumu sjui Ohms law, halafu ticha lenyewe linatumia kiboko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue BALIMI ndiyo bia ya wasukuma yaani kwa kisukuma balimi ni wakulima! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so funny though!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…