Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Unaenda kutambulishwa nyumbani kwa mpenzi wako halafu baadaye unasikia sauti jikoni wanaongea "Umekiona kile kichwa". [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Ujue umeingia ambapo sipo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
449009614_233917~2.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe....

Chunguza vizuri. Mwanaume anapoongea na demu likely utakuta mikono kaweka mfukoni. Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini? Ndo maana jamaa hapo juu ameamua tu kufunguka. Urijali una gharama [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.
[emoji29][emoji29]

Jamaa huwa anarespond mapema. Physical appearance inatosha kumpa alert!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma watano walienda baa ila kwa bahati mbaya wakawa hawajui majina ya bia wanazozihitaji. Baadae wakaingia Wachaga watatu wakaagiza Kilimanjaro sita… Mda uleule akaja mkurya akaagiza Serengeti mbili… Hawajakaa sawa akaingia Muhaya akaagiza Balimi saba Wasukuma wakasema aanhaaaa… kumbe kila mtu anakunywa bia za kwaooo… Wakaanza; (kwa lafudhi ya kisukuma kwa kukundamiza) "… Wee limhudumu… Mhudumu; sema nawasikiliza mabosi. Wasukuma; (kwa kukandamiza) Leta-NYEHUNGE mbili USHILOMBO tatu, SHINYANGA nne, BHARIADI tano, na GEITA saba… !!! Mhudumu: (kwa hasira) "JASHIRAGAA….!!!" 😂😂😂😂😂😂
Mkuu rekebisha BALIMI ni ya wasukuma haswaa ikiwa na maana ya wakulima na siyo wahaya
 
Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.
Hapo kuna gharama hujaziweka. Kwa classic man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom