Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji44][emoji44][emoji44]
received_325022158278331.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAHAMU VITU VYA KIPUMBAVU ZAIDI WANAVYOFANYA WANAUME WENGI [emoji16]

Mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake halali kabisa kisha akasingiziwa mtoto wa mwanaume mwingine na akakubali...!!!

Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anatafuta hela kwa jasho na nguvu kwa ajili ya hawara huku mkewe na watoto wakiteseka ...!!!

Mwanaume ni kiumbe cha pekee ambaye anaweza kujiua kisa tu amesalitiwa na mwanamke, sijui uwezo wa kufanya maamuzi sahihi wamepotezea wapi..!!

Mwanaume anaweza kupanga mipango ya kuchepuka kichwani, ambayo inaweza kudumu kichwani mwake hata miaka kumi kuliko mipango ya maendeleo ...!!

Mwanaume yupo radhi hata kulala na njaa, ili mladi tu atimize adhima yake ya kumhonga na kumnasa binti mwenye wowowo kubwa ...!

Mwanaume kweli ni wa ajabu sana, anaweza kufuta kwenye kiti anachotaka kukaa, ilihali boxer aliyovaa hajaifua wiki 2..!!

Mwanaume anaweza akawa na wanawake hata 3, lakini mkewe wa ndoa asijue hata siku moja..!!

Mwanaume anaweza kuishi na mke wa ndoa zaidi ya miaka kumi Wakiwa wamepanga, lakini ana hawara amemjengea nyumba safi kabisa..!!

Mwanaume anaweza kuwa na heshima nchi nzima, mkoa mzima, Mtaani kote, lakini nyumbani kwa mkewe, anaonekana boya kabisa, na deki anapigishwa, na vyombo anaosha..!!

Mwanaume anaweza chuma mali na mkewe, na mwisho akamwacha mkewe , Na kuoa baamedi...!!

Mwanaume anaweza akawa na kazi nzuri lakini akawa anaishi kwa mwanamke akamjengea, akamfungulia biashara, ila akifukuzwa tu kazi anakosa pa kuishi na mwanamke nae anamfukuza....!!!

Kama hujui mwanaume akili yake inawaza mapenzi kwa asimilia kubwa kuliko mwanamke...!!!

Kama hujui pia wanaume wengi wanateseka kwenye mahusiano lakini wanajifariji kwenye pombe...!!

Ndio maana tunakufa mapema....!!![emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huo ndio uanaume sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni noma haya yote ni kweli

Hakuna kitu wanaume tunapata shida kama bae akuualize baby unajua leo ni siku gani unatambua Kuwa hiyo ni December 12
And you have Totaly fogoten about your January promise ya kwenda Kula Icream mlimani city ukipata pesa flani MA walivyo na akili zinazowatosha wenyewe atanuna siku nzima atakuja kukumbusha wiki baadae huku akikulaumu eti unamdharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma watano walienda baa ila kwa bahati mbaya wakawa hawajui majina ya bia wanazozihitaji. Baadae wakaingia Wachaga watatu wakaagiza Kilimanjaro sita… Mda uleule akaja mkurya akaagiza Serengeti mbili… Hawajakaa sawa akaingia Muhaya akaagiza Balimi saba Wasukuma wakasema aanhaaaa… kumbe kila mtu anakunywa bia za kwaooo… Wakaanza; (kwa lafudhi ya kisukuma kwa kukundamiza) "… Wee limhudumu… Mhudumu; sema nawasikiliza mabosi. Wasukuma; (kwa kukandamiza) Leta-NYEHUNGE mbili USHILOMBO tatu, SHINYANGA nne, BHARIADI tano, na GEITA saba… !!! Mhudumu: (kwa hasira) "JASHIRAGAA….!!!" 😂😂😂😂😂😂
 
Nimeona nikafikiria walimu wa hesabu. Pengine sababu ya unoko wao tulikuwa tunawaona wabaya tu hata kama hawakuwa hivyo. Hovyo sana wale jamaa ...

Kwema lakini ndugu yangu? Mwaka mpya unaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Shwari tu mkuu! unakuta Physics unaletewa makalculation magumu sjui Ohms law, halafu ticha lenyewe linatumia kiboko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue BALIMI ndiyo bia ya wasukuma yaani kwa kisukuma balimi ni wakulima! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so funny though!
Wasukuma watano walienda baa ila kwa bahati mbaya wakawa hawajui majina ya bia wanazozihitaji. Baadae wakaingia Wachaga watatu wakaagiza Kilimanjaro sita… Mda uleule akaja mkurya akaagiza Serengeti mbili… Hawajakaa sawa akaingia Muhaya akaagiza Balimi saba Wasukuma wakasema aanhaaaa… kumbe kila mtu anakunywa bia za kwaooo… Wakaanza; (kwa lafudhi ya kisukuma kwa kukundamiza) "… Wee limhudumu… Mhudumu; sema nawasikiliza mabosi. Wasukuma; (kwa kukandamiza) Leta-NYEHUNGE mbili USHILOMBO tatu, SHINYANGA nne, BHARIADI tano, na GEITA saba… !!! Mhudumu: (kwa hasira) "JASHIRAGAA….!!!" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom