Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Leo nimeenda mgahawani kula.. Nikaona sijala chips siku nyingi.. Nikaagiza chips mayai nikamuambia jamaa anifungie nikale home.. Nimefika njiani harufu ikanishinda kuvumilia.. Nikafungua mfuko nikaanza kuzidokoa. Nimefika geto chips zimeishia njiani .. Na sijashiba kabisa.. Ndio inabidi nirudi tu nikaagize ugali Kama kawaida yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]