Ha ha haaa, m2 wako ndio teknik vile anafanyanga?Ila haya maisha yanahitaji teknik na akili zaidi yaani kuna ile boxa ya kushinda nayo na kuna ile boxa ya kuvaa siku una demu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ulimtumia mama ako picha ya girlfriend wako ikiwa na make up na ma filter kama yote[emoji848] sasa unampeleka akamuone mkwewe home anauliza yule mweupe uligombana nae?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mashauzi yao hayo! Kero mpaka baaaasTofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.
Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh.
Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu
[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa, unaondoa stress kwa kweli![emoji16][emoji23][emoji2]Rais wa china amesema yafuatayo “shai choi ting yang teng wong feng deng jun tik ti wang jung jung fingi ling" hata mimi nakubaliana nae kwa kua ni kwa faida yetu wote[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lkn nyapu nayo inapagawisha kinoma!Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.