Mtu kagoma kupigwa exile
*Shombo hiyo mkuu*Wapendwa niombeenii dua nipo njiani hapa natokea feri kuna paka kama nane hivi wananifukuza wakati sijabeba samaki wala nini na nilikwenda kuogelea tu.
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Ha ha ha ha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
....na avumilie tu., maana hakuna namna....Mtu kagoma kupigwa exile
Hahahahaha.MKAKA :- Mambo
MDADA:- poa
MKAKA :- pande za wapi
MDADA:- Dodoma
MKAKA :- Upo Chuo
MDADA :- Yap
MKAKA:- poa nimeangalia profile picture zako Nimekupenda ghafla...
MDADA:- Ansante.. , Una gari aina gani ??
MKAKA:- Nina Mark two VX
MDADA:- wahoo! Upo sahii kunipenda najisikia rahaa kuchat na wewe....
MKAKA :- ila Gari sio langu,, nimeazima kwa Rafiki yangu....
MDADA:- Nikuambie Kitu.!!!.., Mi Nina Boyfriend Wangu mwaya..na tunapendana Sana
MKAKA :- Mark2 VX hiyo niliazima kwa Rafiki yangu kwasababu gari yangu Harrier new model ilikuwa service
MDADA :- Nakutania tu Sina boyfriend .. Nilikuwa Naye zamani... boyfriend mwenyewe tuliachana , alikuwa mjinga mjinga tu sura mbaya walikuwa wananicheka wenzangu .. Siku hizi Nipo Singo...
MKAKA :- wahoo Safi my dear,,, ila Jana Bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu na kupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni .....
MDADA :- nikuambie ukweli tu,, boyfriend wangu nampenda Sana pia nikuambie Kitu... Nina mume na Watoto wawili
MKAKA :- Poa ,,,Usijali... ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni.... na pia wataniamishia South Africa Capetown kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa assistant manager
MDADA :- jamani my dear... nikuambie ukweli kutoka moyoni... Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madada zetu mnatupeleka wapi??Khaaaah[emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuu kupenda kwingine ni dangerous wakikomaa sana wataolewa na Mercedes benz au ToyotaMKAKA :- Mambo

Shenzy taipu! Kajiumbua.Kuna mwanasiasa mmoja alienda kijijini kwao kutaka kuomba kupigiwa kura. Alipofika wanakijiji wakamwambia tuna matatizo makubwa mawili.
Mwanasiasa akauliza ni yapi hayo? Wanakijiji wakasema hatuna Daktari bingwa hapa kijijini kwetu. Mwanasiasa akanyanyua simu yake, akampigia mtu wakaongea kwa dakika kadhaa. Alipomaliza akawaambi tayari tatizo la Daktari nimelimaliza.
Akawauliza wanakijiji tatizo la pili ni lipi? Wanakijiji wakajibu na kumwambia tatizo la pili ni kwamba hapa kijijini kwetu hakuna network ya simu za mkononi kabisa.....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wanasiasa punguzeni uwongo[emoji38][emoji38]