Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Aiseee
Screenshot_20190301-142008.jpeg

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
MKAKA :- Mambo

MDADA:- poa

MKAKA :- pande za wapi

MDADA:- Dodoma

MKAKA :- Upo Chuo

MDADA :- Yap

MKAKA:- poa nimeangalia profile picture zako Nimekupenda ghafla...

MDADA:- Ansante.. , Una gari aina gani ??

MKAKA:- Nina Mark two VX

MDADA:- wahoo! Upo sahii kunipenda najisikia rahaa kuchat na wewe....

MKAKA :- ila Gari sio langu,, nimeazima kwa Rafiki yangu....

MDADA:- Nikuambie Kitu.!!!.., Mi Nina Boyfriend Wangu mwaya..na tunapendana Sana

MKAKA :- Mark2 VX hiyo niliazima kwa Rafiki yangu kwasababu gari yangu Harrier new model ilikuwa service

MDADA :- Nakutania tu Sina boyfriend .. Nilikuwa Naye zamani... boyfriend mwenyewe tuliachana , alikuwa mjinga mjinga tu sura mbaya walikuwa wananicheka wenzangu .. Siku hizi Nipo Singo...

MKAKA :- wahoo Safi my dear,,, ila Jana Bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu na kupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni .....

MDADA :- nikuambie ukweli tu,, boyfriend wangu nampenda Sana pia nikuambie Kitu... Nina mume na Watoto wawili

MKAKA :- Poa ,,,Usijali... ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni.... na pia wataniamishia South Africa Capetown kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa assistant manager

MDADA :- jamani my dear... nikuambie ukweli kutoka moyoni... Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madada zetu mnatupeleka wapi??Khaaaah[emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha.
 
duuuuu kupenda kwingine ni dangerous wakikomaa sana wataolewa na Mercedes benz au Toyota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanasiasa mmoja alienda kijijini kwao kutaka kuomba kupigiwa kura. Alipofika wanakijiji wakamwambia tuna matatizo makubwa mawili.

Mwanasiasa akauliza ni yapi hayo? Wanakijiji wakasema hatuna Daktari bingwa hapa kijijini kwetu. Mwanasiasa akanyanyua simu yake, akampigia mtu wakaongea kwa dakika kadhaa. Alipomaliza akawaambi tayari tatizo la Daktari nimelimaliza.

Akawauliza wanakijiji tatizo la pili ni lipi? Wanakijiji wakajibu na kumwambia tatizo la pili ni kwamba hapa kijijini kwetu hakuna network ya simu za mkononi kabisa.....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Wanasiasa punguzeni uwongo[emoji38][emoji38]
 
Shenzy taipu! Kajiumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom