hahaa tapeli vs kibakaMKAKA :- Mambo
MDADA:- poa
MKAKA :- pande za wapi
MDADA:- Dodoma
MKAKA :- Upo Chuo
MDADA :- Yap
MKAKA:- poa nimeangalia profile picture zako Nimekupenda ghafla...
MDADA:- Ansante.. , Una gari aina gani ??
MKAKA:- Nina Mark two VX
MDADA:- wahoo! Upo sahii kunipenda najisikia rahaa kuchat na wewe....
MKAKA :- ila Gari sio langu,, nimeazima kwa Rafiki yangu....
MDADA:- Nikuambie Kitu.!!!.., Mi Nina Boyfriend Wangu mwaya..na tunapendana Sana
MKAKA :- Mark2 VX hiyo niliazima kwa Rafiki yangu kwasababu gari yangu Harrier new model ilikuwa service
MDADA :- Nakutania tu Sina boyfriend .. Nilikuwa Naye zamani... boyfriend mwenyewe tuliachana , alikuwa mjinga mjinga tu sura mbaya walikuwa wananicheka wenzangu .. Siku hizi Nipo Singo...
MKAKA :- wahoo Safi my dear,,, ila Jana Bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu na kupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni .....
MDADA :- nikuambie ukweli tu,, boyfriend wangu nampenda Sana pia nikuambie Kitu... Nina mume na Watoto wawili
MKAKA :- Poa ,,,Usijali... ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni.... na pia wataniamishia South Africa Capetown kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa assistant manager
MDADA :- jamani my dear... nikuambie ukweli kutoka moyoni... Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madada zetu mnatupeleka wapi??Khaaaah[emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuoa muhimuAlafu ndo useme tuoe mapema huu sio umaskini kweli ...
chaputa haina hizo gharama
Je wajua?
Maalim Seif Sharif Hamad ndiye mtu pekee Duniani aliyetafuta Urais kwa muda mrefu bila kufanikiwa?
Maalim alianza kutafuta Urais 1984 mpaka sasa ni miaka 35.
Wakati huo Maalim Seif anasaka Urais, Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa bado mwanafunzi wa Chuo.
Wakati huo Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete alikuwa na Miaka 35 tu sasa ni Rais Mstaafu Maalim Seif Sharif Hamad bado anasaka Urais [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
...ukioa zinapungua kidogo kidogo. Samaki ukishamvua, chambo cha nini?...Kweli mkuu kuoa muhimu ila sio kwa mabinti wa karne hii yaani wanagharama ...
...ukioa zinapungua kidogo kidogo. Samaki ukishamvua, chambo cha nini?...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaata zikipungua mkuu mda mwingine inakuwa too much, eti ukuta wa nyumba tupige rangi na nayeye mwanamke apigwe rangi [emoji140][emoji140][emoji140]
Ha ha haaa, Hii ipo sana .Unaamua kuwa good boyfriend kwa kumpa kila kitu girlfriend wako anachotaka! Mwisho wa siku unakuja kugundua akiwa na rafiki zake anakuita DANGA.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Witchcraft is when you about to enter in an interview and you hear your English saying "Go in, I'll wait for you outside"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]