Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Je wajua?
Maalim Seif Sharif Hamad ndiye mtu pekee Duniani aliyetafuta Urais kwa muda mrefu bila kufanikiwa?

Maalim alianza kutafuta Urais 1984 mpaka sasa ni miaka 35.

Wakati huo Maalim Seif anasaka Urais, Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa bado mwanafunzi wa Chuo.

Wakati huo Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete alikuwa na Miaka 35 tu sasa ni Rais Mstaafu Maalim Seif Sharif Hamad bado anasaka Urais [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
MKAKA :- Mambo

MDADA:- poa

MKAKA :- pande za wapi

MDADA:- Dodoma

MKAKA :- Upo Chuo

MDADA :- Yap

MKAKA:- poa nimeangalia profile picture zako Nimekupenda ghafla...

MDADA:- Ansante.. , Una gari aina gani ??

MKAKA:- Nina Mark two VX

MDADA:- wahoo! Upo sahii kunipenda najisikia rahaa kuchat na wewe....

MKAKA :- ila Gari sio langu,, nimeazima kwa Rafiki yangu....

MDADA:- Nikuambie Kitu.!!!.., Mi Nina Boyfriend Wangu mwaya..na tunapendana Sana

MKAKA :- Mark2 VX hiyo niliazima kwa Rafiki yangu kwasababu gari yangu Harrier new model ilikuwa service

MDADA :- Nakutania tu Sina boyfriend .. Nilikuwa Naye zamani... boyfriend mwenyewe tuliachana , alikuwa mjinga mjinga tu sura mbaya walikuwa wananicheka wenzangu .. Siku hizi Nipo Singo...

MKAKA :- wahoo Safi my dear,,, ila Jana Bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu na kupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni .....

MDADA :- nikuambie ukweli tu,, boyfriend wangu nampenda Sana pia nikuambie Kitu... Nina mume na Watoto wawili

MKAKA :- Poa ,,,Usijali... ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni.... na pia wataniamishia South Africa Capetown kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa assistant manager

MDADA :- jamani my dear... nikuambie ukweli kutoka moyoni... Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madada zetu mnatupeleka wapi??Khaaaah[emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa tapeli vs kibaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wajua?
Maalim Seif Sharif Hamad ndiye mtu pekee Duniani aliyetafuta Urais kwa muda mrefu bila kufanikiwa?

Maalim alianza kutafuta Urais 1984 mpaka sasa ni miaka 35.

Wakati huo Maalim Seif anasaka Urais, Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa bado mwanafunzi wa Chuo.

Wakati huo Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete alikuwa na Miaka 35 tu sasa ni Rais Mstaafu Maalim Seif Sharif Hamad bado anasaka Urais [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓

Kwahio tukusaidiaje hata tukijua[emoji3]jukwaa hili ni No Stress
No Presha[emoji3][emoji38]🤣
Mkuu peleka haya maswala kwenye jukwaa la Siasa[emoji38][emoji3]

Wewe kama ni Mti basi ni Mpapayu haufai kuni wala Mkaa🤣[emoji23]
 
...wataalam wa deki karibuni sana.........
IMG-20190312-WA0029.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
At first Facebook came out with “someone poked you”
Then it came to “someone waved you”
Soon it’ll be "someone fingered you”

Utakuwa ukiamka asubuhi unakuta Kemi, nomi, jonte and 8 others fingered you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
When English is not your mother tongue and you see twins..
YOU: Hello guys, you look twice
TWINS: What do you mean?
YOU: I mean you look again..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule mkaka akamfuata. Wakakaa sana huko kisha mkaka akarudi sebuleni kuendelea kuongea na mama yake. Lakini zipu ya suruali yake ilikuwa wazi. Mama akamuuliza, mkeo anaendeleaje? Akamuambia, anajisikia vzr sasa. Nimempa panadol. Mama akatabasamu na kumwambia mwanaye, sawa. Lakini siku nyingine ukishatoa panadol ukumbuke kufunga pharmacy*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
An Ethiopian man told his wife on Phone that he was boarding the Ethiopian airlines for a business meeting in Nairobi, he even sent a text message indicating he has taken his seat in the plane and was just waiting for the plane to take off, meanwhile he is in a hotel room with his side chick..

Now he can't go home because everyone knows he's dead [emoji3]

The family is currently in a meeting to plan for his funeral.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom