Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kwani nyani ana sura mbaya au mimacho yetu tu,huenda nao wakimuona sepenga wema wanamcheka,labda nao hututeta lione sura mbayaa kama binadamu.(Ukishiba pilau kwa jirani unaweza kudhani hata tofali ni mkate basi tu maringo yetu)
 
Hivi rubani hayupo katika kundi la WATU maana sijasikia akitajwa wakati orodha ya waliokuwa ndani ya ndege ikitolewa
 
*Tafadhali Ukialikwa Nenda Kale Sepa Mambo Ya Kusumbua Watoto Wa Aliyekualika Mara Unasoma Darasa La Ngapi Mara Nihesabie Mpaka 10, nitajie table ya 6 Hatutaki[emoji12][emoji12]*
Teh ....
 
Haka kahali ya hewa kasiku hizi kana faa sana kwa kilimo cha watoto asee!Hasa nikikumbuka kale kausemi ka "fyatueni tu nitasomesha"napata ujasiri wa kutosha ila msiniige hizi ni akili za baada ya kuvimbiwa pilau ya jirani mama fau na gambe mbili tatu kwa mangi ofa kutoka kwa side boy.Yanini kujitaabisha wakati kwa jirani kunalika?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unautani na wasukuma wewe
 
Hii movie nikiiangalia ikifika sehemu hii huwa siwezi kula maana nitapaliwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…