Dating foreigners is all fun and games until you have to argue in english throughout the relationship[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi nipo shule walinikoma [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Wife kanambia nimpe zawadi itakayo dumu mwaka mzima nikafikiri na huu ukata kijasho kikanitoka umasikini unafanya akili ifikiri kama mwendokasi nimeenda kununua kalenda ya 2020 toka juzi analala chumba cha watoto na tunapishana kimya kimya
Dont ever try this man!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Niliungwa group tuliosoma wote chekechea (shule ya maziwa )au vidudu ingawa ni miaka 40 toka nimalize elimu hiyo nikakubali japo shingo upande sasa hili group la watanzania wanaoishi nchini Tanzania sijui likoje kifupi nimechanganyikiwa