Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hahahaa kifo!tunakiogopa lakini lazima tutakutana nacho siku wala saa hatuijui
 
Hey ,I'm urgently looking for an individual aged 20-30.He/she should be either a diploma or Degree holder in any course and should be able to fluently speak English or Kiswahili
Tribe doesn't matter.


Akuje nimtume Chumvi.
Akuje umtume chumvi au chumvini?
 
Kuanzia leo natangaza kuacha bangi, si kwa ilivyonifanya jana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], nimekesha nacheza muziki, kumbe muungurumo wa Jenereta
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bangi nibangue[emoji125] [emoji125]
 
Usiombe kujisaidia choo ambayo mlango haufungi[emoji102] utaimba nyimbo zote ukisikia milio ya viatu kuna mtu anakuja pande hizo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha kwisha habari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…