Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hahahaha kwisha habari yako
Waliniweka ndani sijui ndio kunaitwa {vyombo vya nyumbani vya plastik} au peni=cello[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema nimependa zile kaunta zao, nzuri sana kukaa na kunywea BIERE[emoji481] [emoji481] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ZUZU1: Nimesikia kuangalia porn kwenye internet tcra wanakufunga eti ni kweli?
ZUZU2: Ndio ni kweli, kwanini umeniuliza?
ZUZU1: Basi mi tcra hawanipati
ZUZU2: Kwanini?
ZUZU1: Basi mi nyumbani nimejenga banda la bata madume ninao 3 majike 9 , then mbuzi ninao majike 12 na beberu 4 na paka ninao majike2 na madume 6.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Situmii bandooo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaman maombi yenu, nmetoka kununua maembe sokoni kwa kuwa nlikuwa sina chombo cha kubebea muuzaji kaniwekea kwenye box, ndipo safari ikaanza. Nlipopita karibu na kituo cha Police ghafla nikasimamishwa tena kwa sauti kubwa "wwe simamaaaaa pumbavu" nikatii sheria ile naulizwa umebeba nn, kabla cjajibu nikapewa kofi moja takatifu, ndo nikaambiwa haya jibu sasa nikawaambia maembe nikapulizwa kofi tena. Baada ya wale Police kulifungua lile box wakakuta kweli ni maembe, kumbe yule muuzaji aliniwekea maembe kwenye box lililoandikwa "KIROBA ORIGINAL". [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu zangu saivi mwe makini na mabox mnayobebea mizigo yenu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Wiki iliyopita niligombana na mke wangu, sasa wazee wa kijiji wakaja nyumbani ili kusuluhisha, kabla ya maongezi nikawauliza wanatumia sigara gani then nikamtuma dogo dukani kuwanunulia lakini nikamwambia zote azimikss na cha Arusha.
Kabla ya kunisuluhisha ikabidi waanze kuvuta ili kuongeza busara, baada ya dakika 10 kilichofuatia
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikisema AIREEE!!! Wanajibu wote JAAAH[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ni RAS Sipendi ujinga[emoji34] [emoji34]
 
KUNA HII...

Kwenye Nchi Zingne Mtoto Akianguka
Utasikia "OOH MY BBY ARE YOU HURT"?*
*Tanzania Utasikia" USIMWANGALIE ATAANZA KULIA HUYO"*
 
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..

Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]
Mbavu zangu.
 
Malaya kaenda kwa daktari bingwa wa upasuaji na kutaka atobolewe tundu jingine kwenye papuchi. Daktari ikabidi amuulize kulikoni, akajibu "Bishara imechanganya nataka nizindue tawi jipya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
```Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa, mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lin? Wengine wakasema leo asubuh, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. Majibu yalikuwa hiv:

1. Unaota au? [emoji102][emoji780]

2. Umekumbwa na nn? [emoji32][emoji780][emoji780]

3. ??!! Makubwa![emoji32][emoji779][emoji779][emoji779]

4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani[emoji19][emoji36][emoji379][emoji379][emoji779][emoji779]

5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.[emoji34][emoji34][emoji19][emoji379][emoji375][emoji378][emoji380]

6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?[emoji19][emoji19][emoji34][emoji779][emoji780][emoji780]

7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.[emoji19][emoji108]

8. Wewe sema unachotaka.[emoji53][emoji136]

9. Leo hunipati ng'o![emoji135][emoji126][emoji779][emoji779]

10. Nani mwenzangu[emoji15][emoji780][emoji780]

Mwanamke yupi alitisha hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]```
 
Ahahah, namba 10 katisha eti nani mwenzangu
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]
Yaani ukitoka hapo ni full stress
 
eaf61771bc11f50d85caccc017d7ffb1.jpg
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom