Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiii jaman mpaka machozi yamenitokaHahahaa kifo!tunakiogopa lakini lazima tutakutana nacho siku wala saa hatuijui
Waliniweka ndani sijui ndio kunaitwa {vyombo vya nyumbani vya plastik} au peni=cello[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha kwisha habari yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona
Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..
Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
Mbavu zangu.Basi utaondoka na stress..!
Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Future [emoji289]
Usiombe kujisaidia choo ambayo mlango haufungi[emoji102] utaimba nyimbo zote ukisikia milio ya viatu kuna mtu anakuja pande hizo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ahsante, sasa hivi nimeamua nianze kupitia majukwaa tofautiNa huku pia unapita karibu sana
Ahahah, namba 10 katisha eti nani mwenzangu```Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa, mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lin? Wengine wakasema leo asubuh, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. Majibu yalikuwa hiv:
1. Unaota au? [emoji102][emoji780]
2. Umekumbwa na nn? [emoji32][emoji780][emoji780]
3. ??!! Makubwa![emoji32][emoji779][emoji779][emoji779]
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani[emoji19][emoji36][emoji379][emoji379][emoji779][emoji779]
5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.[emoji34][emoji34][emoji19][emoji379][emoji375][emoji378][emoji380]
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?[emoji19][emoji19][emoji34][emoji779][emoji780][emoji780]
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.[emoji19][emoji108]
8. Wewe sema unachotaka.[emoji53][emoji136]
9. Leo hunipati ng'o![emoji135][emoji126][emoji779][emoji779]
10. Nani mwenzangu[emoji15][emoji780][emoji780]
Mwanamke yupi alitisha hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]```
Yaani ukitoka hapo ni full stressBasi utaondoka na stress..!
Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Future [emoji289]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]