Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hakuna vidada vinavyoona maisha wameyapatia kipindi hiki cha Covid 19 kama vile vinavyovaa mask na miwani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398][emoji769]
 
tapatalk_1589304109906.jpg


[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni burudani tupu.

Ukivisoma mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja.
Tuanze na hivi:-

1. Leo kidogo nipigwe na mwanamke baada ya lifti kusimama, wakati tupo kwenye lifti Nilikua nayaangalia maziwa yake akasema "Bonyeza moja" mimi si nikalibonyeza yaani hadi sasa bado najiuuliza nilipokosea?

2.Hivi utajisikieje utakaposikia rafiki yako wa karibu hajaja kwenye mazishi yako? Nadhani mimi sitamwongelesha tena!
nafikiri nakaribia kupona

3.Nimenunua chips ili nile. Kwa bahati mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa karibu na mimi akaanza kuzililia. Imebidi nivae earphones. Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi.

4.Jana nimepita njia ya mkato makaburini, warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka eti tunaogopa kupita peke yetu na mimi nikawajibu hata mimi nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana. Wakazimia.

Sipendagi kufatwa fatwa.
 
Tangazo.
Tukielekea mwishoni mwa mfungo
Kwa wale wote ambao wamefunga na hawajapungua mwili.... ....Mjue hamkufunga bali mlibadilisha ratiba ya kula [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Jana nimevaa kanzu yangu na barakashia mpya kabisa, nipo zangu barabarani natembea wakati nataka nivuke mtaro kwa kuruka.... Nikajikuta nimekula kata funua moja matata sana..[emoji38][emoji38][emoji38] nahisi ni shetani tu ndio kanipiga ila nimegundua sababu ya wadada wakivaa madera kwanini wanayashikilia na kuyapandisha juu kuchomekea kwenye chupi...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Wale mliokuwa mkiwavalisha Mbuzi barakoa ili njiani wasile mazao ya watu
wakienda kwenye malisho....Hivi tangu na nyie mlipoanza kuvaa mnajiskiaje?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Wale mliokuwa mkiwavalisha Mbuzi barakoa ili njiani wasile mazao ya watu
wakienda kwenye malisho....Hivi tangu na nyie mlipoanza kuvaa mnajiskiaje?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kama unavyojiskia wewe ukivaa barakoa basi hata Mbuzi nae alikuwa anajiskia hivi hivi. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
It was my first time in court, and I heard the Judge saying "Order!!" and I replied Rice, Chicken and Juice.[emoji490][emoji484][emoji500]
Now two Police officers [emoji61][emoji61]are escorting me outside.
I think we are going to the restaurant
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
I remember the time I got dumped at 1:42 AM and started asking myself why I didn't sleep early like a normal human being all that time[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah. Inauma hiii. Hadi unahisi mbu wanakucheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using myLG leon
 
Kabisa..[emoji54][emoji54] Ndiyo maana nimeamua kufuatilia hili suala kwa undani!! Nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kufulia kubaya tunatafuta sababu. By Bible
😂😂🙈🙈🙈, haya bhana
 
Back
Top Bottom