daismpanyu
New Member
- Apr 3, 2020
- 4
- 4
🤣🤣
```Kesho inatolewa list ya wadada ambao zaman walikuwa weusi ila saiv weupeeeee```
[/QUOTE]
```Kesho inatolewa list ya wadada ambao zaman walikuwa weusi ila saiv weupeeeee```
[/QUOTE]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni burudani tupu.
Ukivisoma mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja.
Tuanze na hivi:-
1. Leo kidogo nipigwe na mwanamke baada ya lifti kusimama, wakati tupo kwenye lifti Nilikua nayaangalia maziwa yake akasema "Bonyeza moja" mimi si nikalibonyeza yaani hadi sasa bado najiuuliza nilipokosea?
2.Hivi utajisikieje utakaposikia rafiki yako wa karibu hajaja kwenye mazishi yako? Nadhani mimi sitamwongelesha tena!
nafikiri nakaribia kupona
3.Nimenunua chips ili nile. Kwa bahati mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa karibu na mimi akaanza kuzililia. Imebidi nivae earphones. Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi.
4.Jana nimepita njia ya mkato makaburini, warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka eti tunaogopa kupita peke yetu na mimi nikawajibu hata mimi nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana. Wakazimia.
Sipendagi kufatwa fatwa.
Kama unavyojiskia wewe ukivaa barakoa basi hata Mbuzi nae alikuwa anajiskia hivi hivi. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Wale mliokuwa mkiwavalisha Mbuzi barakoa ili njiani wasile mazao ya watu
wakienda kwenye malisho....Hivi tangu na nyie mlipoanza kuvaa mnajiskiaje?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Daaah. Inauma hiii. Hadi unahisi mbu wanakucheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I remember the time I got dumped at 1:42 AM and started asking myself why I didn't sleep early like a normal human being all that time[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂🙈🙈🙈, haya bhanaKabisa..[emoji54][emoji54] Ndiyo maana nimeamua kufuatilia hili suala kwa undani!! Nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kufulia kubaya tunatafuta sababu. By Bible