Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

MISION IMPOSIBLE NI PALE UNAENDA KUMPOKEA DEMU STAND UNAENDA NAE DUKANI UNANUNUA KONDOM NA YEYE ANANUNUA PEDI

LAZIMA UMPE NAULI ARUDI KWAO AJE SIKU NYENGINE[emoji28][emoji3][emoji3][emoji1][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jinsi ya kuvuka barabara pale baghdadi Iraq .....tazama kulia tazama kushoto kama hakuna gari kisha tazama juu kama hakuna rocket karibu kisha tazama nyuma kama hakuna terrorist na kisha tazama ulipokanyaga kama hakuna Bomu LA kutegwa na kisha vuka barabara kwa zigzaga kukwepa risasi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Muulze kwanza kabla hujampa nauli, labda ni za akiba na kwao hazipatikani kirahisi![emoji38][emoji23] [emoji23]
 

Ukifanikiwa kuvuka kwa hiyo staili, umeshafuzu mafunzo ya komandoo.... 😀😀😀😀😀😀
 
Akina Roma Wasipopatikana mpaka kesho asubuhi tujaribu kumshirikisha babayetu Gwajima[emoji38] anaweza akajua mpaka sehemu walikofichwa[emoji1] nahisi hajapata hizi taarifa[emoji6][emoji6]
 
Kuna demu kanitumia sms
" Baby nipo hospitali nimelazwa, naomba unitumie sh 50000. Nikipona nitakurudishia.."
Nimemjibu " Ukifa je.!?"
* Kwenye hela sitakagi ujinga kabisa.. *
Labda watakata kwenye rambi rambi...
 
Jana bado kidogo nichapwe makofi na jirani yangu, si aliniona nimeuwa panya kwa sumu, [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikuwa balaa. Kwa vile sipendi tabu nimemwambia tu exchange nyumba ye aingie kwangu mi niingie kwake hadi panya watakapokwisha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji481] [emoji481] na [emoji377] [emoji377] hazidanganyi
 
Njomba nchumali huyo...[emoji23] [emoji23]
 
Maswali Ya Mtandaoni Bhana!

Eti Unaweza Kuchoma Cheti chako cha *Form Six* ukipewa *_Billion 2??_*
Kwa Upande Wangu Mimi Sio Cheti Tu Hata Shule Nachoma, Pia Naweza Kumnyofoa Teacher Miguu...!![emoji35]

*Nishavurugwa Kitambo!!*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Du[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…